mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hatuwezi wote tikafanya kazi halaliHatusemi vibaya marehemu lakini sura tu zinawasaliti kwakweli.
Vijana tufanye kazi halali tuishi maisha yaliyo ndani ya uwezo wetu tuwe smart kimuonekano na zaidi kama hakuna ulazima tubaki tupambane tukiwa nyumbani
Ni hayo tu.
Mkuu,dunia uwanja wa fujo
Ndomana kuna magereza,polisi nk
Ova