Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Absolutely not true!Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Chanzo: ITV habari
Kuna siku nilikuwa mgahawani nikaagiza kwa sauti "mama muuza naomba chai na chapati nne"!,aisee watu wote mule mgahawani walinikodelea mimacho!Kwa sababu chapati moja ni sh.300, ukinunua mbili unauziwa 500 hivyo unakuwa umeokoa 100 kuongezea kwenye fungu la bamia.
South African business men who have interests in countries like DRC, Zambia, Malawi. Tanzania is a better option than South Africa, Tanzania imependelewa kijiografia kuliko nchi nyingi za Afrika natumahi uko unafahamu hilo.Hata mimi simwamini hata kidogo. South Africa wapitishe kwenye bandari yetu na huku wana bandari zao. Huu ni uwongo wa mchana. Yaani mizigo iteremshwe ipitie Zambia, Zimbabwe hadi South Africa?. No hapana.
South African business men who have interests in countries like DRC, Zambia, Malawi. Tanzania is a better option than South Africa, Tanzania imependelewa kijiografia kuliko nchi nyingi za Afrika natumahi uko unafahamu hilo.Yaani mpaka 'sothafrika' wanapita huku? Halafu wanaanza barabara tena? Barabara zetu hizihizi zenye speed limit ya 50km/h kila baada ya km 5 na 'tafiki' wenye njaa ?
Hayo magari na mizigo mingine vinaendaje hu SA?Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Chanzo: ITV habari
Too sweety to believeNchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Chanzo: ITV habari
Mbona umefura manka?Wewe ni kilaza mkubwa sana,unaujua umbali wa kutoka Dar mpaka south,unazijua bandar za south Africa, unazijua route kubwa zote za Meli lazima zikaishishie south,kwa taarifa yako hawatumii bandari moja kama tunavyotumia ya Dar
Wewe ndio mbwiga kwani SA hawauzi Zambia na DRC?!Mleta Mada ni ile mitoto mitukutu ilio kimbia umande!!! sasa humu wanaonekana watu vilaza! ?? kwanza hata sidhani jeografia ya Africa anaijua huyu!!! ulimaanisha bongo kusini au!1 Msomi hata wa drs la saba tu kumjua ni padoogo sana!!
yaani huyu afukuzwe tu hata humu jf ni aibu na hasara nene!! kwa habari km hii hii!! unajaza saver tu! ungekuwa mkubwa km mimi ningekutukana sana matusi ya nguoni mpaka ushindwe kutembea!
Kama ule wa mgodi wa Nickel kuajiri watu milioni naneYaani unamaanisha South Africa hawaziamini bandari zao wanaiamini ya kwetu?!
Nyie mmechanganyikiwa, naona uongo wenu sasa unavuka vipimo mlivyojiwekea.
Tuliza akili dogo acha mihemko! up countiries mna viherehere sana kuisemea Bandari ya bongoland sijui kwa nini? hauishi bongoland but unaisemea Bandari za Bongoland hivi unajua kwa nini uzalishaji kwa TAZARA ulishuka sana, na unaendelea kushuka mpaka leo?Wewe ndio mbwiga kwani SA hawauzi Zambia na DRC?!
Bavicha mna viburi sana!
Hivi kwanini mashabiki wa Lisu na Amsterdam mnajidharau sana?Yaani unamaanisha South Africa hawaziamini bandari zao wanaiamini ya kwetu?!
Nyie mmechanganyikiwa, naona uongo wenu sasa unavuka vipimo mlivyojiwekea.
Usikariri bwashee!Tuliza akili dogo acha mihemko! up countiries mna viherehere sana kuisemea Bandari ya bongoland sijui kwa nini? hauishi bongoland but unaisemea Bandari za Bongoland hivi unajua kwa nini uzalishaji kwa TAZARA ulishuka sana, na unaendelea kushuka mpaka leo?
Lusaka commercial Centre, Bandari salama na Durban ni wapi bei nafuuu, salama na karibu? kwa akili za geografia ya drs la nne sasa hizi! tuanzie hapo! hata kama ulisikia ITV huwezi tumiakichwa chako kutafakari? how possible?
Unayabeba ya wanasiasa wa maji nanii ... Bongo land km yalivyo unayakalia!! unayaleta humu. dogo!! dogo utachina wakati siyo muda wako !!! yaani huelewiiii!! eti wapi vile DRC hivi bado tu unaamini DRC ni salama kweli kwa biashara? za nini
kwanza watu wenyewe kucha kutwa wanakimbia kimbia wale!! hawajatulia wale, watauza nini? na kununua saa ngapi? kwa nani? ili Taifa lolote Duniani liendelee linahitaji vitu vinne au ukilaza wako hukusoma hii shule ya msingi?;
!1.Watu,- jiulize wapo au walikimbia, na wanaendelea wanakimbia? hata hao wachache hawana ulinzi pili hawajiamini km kesho itafika, hana hela halafu wewe umpelekee mafuta ya gari! hii akili au kopo?
2.Ardhi, ipo je inatumika kuzalisha ipasavyo wkt hkn watu?
3.Siasa safi - zipo DRC juzi kati hapa zimepigwa bungeni au hukuona weye? na
4. Uongo... bora s
asa je hayo yapo- DRC? si ndivo mlivofundishwa huko katani kwenu au hukuhudhuria wewe? ulikuwa mtoro? hiyo shule yako ya nyuma huko itumie hapa au ulitupa daftari?
sasa km haya yote hayapo DRC eti weye sijui muarabu unaenda fanya biashara huko, sijui utanya na nyani? elimu ya Mkapa haikukusaidia kitu! rudi drsani!
kwanza shughuli za uzalishaji mali wale hawafanyi ni chupi mkononi mda wowote kinanuka!! wewe yohana mbatizaji wa wapi sijui upeleke Mimali yako hapo ukauze kwa usalama wakati wenyeji hawapo upate faida urudi bongo sijui south ule na kunywa?
oK biashara ajili ya nani? wewe ukiona Siraha rasmi ya kikundi rasmi zinapita Bongo to kongo unashangilia na kudhani ni biashara ya kawaida ile DRC kumekucha siyo? sasa gusa ufe!!! Utumiwe kama chambo kwanza nikuulize wewe ni mzungu au!!!
Zambia ni sawa kuna utulivu hii kwanza hata usingeisema sababu tangia JK nyerere tuanayo hii!! lkn hawatumii bandari zetu finyu!! Wana siasa wanasemaga kwa watu km nyie mnayachukua km yalivo mnaenda kusambaza kwa watu wenye akili zao! tunasem noooooo!
Hiyo ni afrika kusini ya chatoNchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Chanzo: ITV habari
Wakati mwingine ukimkaba mtu koo umwachie kidogo sekunde 5 alafu umkabe tena akikujibu ndio umalizie kabisaHiyo mizigo inatoka nje unapita Dar alafu ndo inaenda huko kusini mwa Africa au inatoka huko kusinj mwa Africa inakuja kwetu
Au inatoka kusini mwa Africa inapita kwetu alafu inaenda mbele zaidi
Maelezo yaliyonyooka tafadhari.
Wewe ulitaka wapakie kwenye ungo?