Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
CCM waongo sanaSouth Africa sio kuwa wana bandari nao? Hawana uzalendo wale ee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM waongo sanaSouth Africa sio kuwa wana bandari nao? Hawana uzalendo wale ee?
Mombasa n jiran sana lakini kusema watanzania wanatumia bandari ya Djibout n uzushiWewe Bavicha kinakushangaza nini hapo?
Kwani wafanyabiashara wa Tanzania hawatumii bandari ya Mombasa?
TPA hawana chama!CCM waongo sana
Labda unamaanisha Msemaji wa TPA!Mleta mada hebu shirikisha halmashauri ya kichwa chako kwanza.
Huyo msemaji wa TPA ameifanya kuwa ni habari lakini mizigo ya transhipment ni shughuli ya kawaida kwenye bandari nyingi duniani wala siyo ya kwanza kufanyika katika bandari ya D'Salaam. Tulikuwepo huko bandarini tangu enzi ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Waache kutafuta sifa.Sasa msemaji wa TPA ndio hawezi kuwa mpuuzi sawa na wapuuzi wengine?
Bwashe acheni kunywa wanzuki na banana. sasa south imezungukwa na bahari wale makaburu waje kutumia bandari mfu ya dar yenye kodi kede kedeTPA hawana chama!
Duh, yaani mijitu ya CCM haijui jografia Wala logistics.Nchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Chanzo: ITV habari
Uwe unasoma na kuelewa bwashee!Duh, yaani mijitu ya CCM haijui jografia Wala logistics.
Afrika Kusini wana bandari kubwa sana na za kisasa mno kuliko utopolo wa Dar uliojaa urasimu.
Hivi washushe gari zao Dar halafu zianze Safari mpya kwenda kwao kwa maloroli, sio? Pumbavu kabisa
Yanajiita eti CCM kindakindaki!Duh, yaani mijitu ya CCM haijui jografia Wala logistics.
Afrika Kusini wana bandari kubwa sana na za kisasa mno kuliko utopolo wa Dar uliojaa urasimu.
Hivi washushe gari zao Dar halafu zianze Safari mpya kwenda kwao kwa maloroli, sio? Pumbavu kabisa
Huyu Geog. alipataga zero! akaichukia mpaka leo! Hata Vasco Dagama ali zitumia kitambo sana hizi bandari!! zina historia ya weledi! akamalizia na Mombasa! akaweka alama ngome kuwa amepita! Fort Jesus!Sina hakika na usemacho, sidhani kama kuna ukweli...SA siku hizi wanafanya assembly ya magari kwao, na wamezungukwa na maji ya bahari eneo kubwa, bandari zao hakuna East Africa
Labda meli ya mizigo ya SA imeshusha mzigo Dar ikielekea SA.
Aacheni mapambio hata sehemu isiyotakikana
ó hamna kitu hapoFix za makinikia hizi
Hii ni bange walahiNchi ya Afrika Kusini imeanza kupitishia mizigo yake katika bandari ya Dar es salaam baada ya ufanisi kuongezeka bandarini hapo.
Msemaji wa TPA amesema jambo kama hili zamani lisingewezekana lakini sasa shughuli za kutoa mzigo bandarini hazichukui zaidi ya siku tatu jambo lililowavutia sana wafanyabiashara wa South Africa
Chanzo: ITV habari
Kwa suala la Mungu nimekupinga huwa naumia sana , mtu anapoanza kumlinganisha Mwenyezi Mungu, na kitu chochote.Acheni uongo , kuna bandari hapa kuzidi capetown ? yaani nyie utopolo bado kidogo mtasema Mungu ni mbongo , mnatia aibu sana !
Kwahiyo msemaji wa TPA anavuta bange?Hii ni bange walahi
Halafu Mungu siyo mnoko kama unavyotaka kutuaminisha , Mungu ni upendoKwa suala la Mungu nimekupinga huwa naumia sana , mtu anapoanza kumlinganisha Mwenyezi Mungu, na kitu chochote.
Kumbuka anawivu sana hataki kabisa kulinganishwa na chochoteHalafu Mungu siyo mnoko kama unavyotaka kutuaminisha , Mungu ni upendo
Huyo ni mungu wako! kwani miungu si iko miiingi tu? mfano mungu Baari, Zeus, Allah subuhana wataalah nk! hawana mfano wa kitu chochote hawa ooloh! sasa wako ni yupi kati ya hao! kwani amemtaja? sasa wapi ameonyesha amemsema miungu wako hao?Kwa suala la Mungu nimekupinga huwa naumia sana , mtu anapoanza kumlinganisha Mwenyezi Mungu, na kitu chochote.