Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

Vipi kuhusu jeshi la Tz?
 
Kagame atapigiwa ndani ya Kigali mpaka achakae. Mwehu na muuaji.
 

View: https://x.com/RwandaMoD/status/1885025761335332901?t=NlwpwJKhHTaNSKbwSDg8wQ&s=19
 

View: https://x.com/Labella_Mafia95/status/1884964753845453296?t=oHCP9ywAMcspwAO58OhayA&s=19
 
Unajarbu kujustify vitu hata huelewi unachokiongea. Kuishi SA, Rwanda na USA it does not necessarily makes you clever. Usafananishe mtu kunyongana hotelini na vita, kwahiyo vita ikitokea Hao jamaa wa kagame South Africa watafanya nini? Kila kitu ulichosema ni story za kijiweni tu hamna valid point hata kidogo. South Africa akiamua kumshambulia Rwanda sio lazima atume wanajeshi anaweza kutuma ndege na the fact that anasupport kutoka DRC, DRC inaweza kutumika kama staging ground ya attacks kwa kutumia ndege, drones mizinga amboza SA anazo nyingi infact anatengeza mwenyewe SA haitaji kutuma jeshi la chini kumpiga Rwanda, vilevile Rwanda ni nchi ndogo sana haitachukua muda madaraja, kambi za kijeshi, airport, reserve za mafuta, mifumo ya mawasiliano na vyanzo vyote muhimu kushambuliwa. Ni vigumu Rwanda kurudisha attack South Africa sababu Hana long range missile, Hana ndege za kutosha, Hana support kutoka nchi yeyote ya SADC inayopakana na SA that he can use as a stagging ground vilevile Rwanda ni landlocked country Hana boti za kusafiri kwenda kushambulia SA. Kilichobaki ni labda terrorist attacks ambzo SA anaweza ku contains. Rwanda anapiga biti kisa anajua kwamba bunge la SA haliwezi izinisha vita, if it happens Rwanda atafurahia na mind you charter ya SADC inasema mmoja akishambuliwa wote wanaulazima kuunga mkono
 

View: https://x.com/MpepoLungi/status/1885056348850627024?t=INwZtC-PjWe7knIDg__VZA&s=19
 
Banyamulenge mmejaa humu. Nyie ni jamii hatari haifai ht kuishi karibu nanyi. Mmeuana na wahutu hamjatosheka, watutsi Wana laana ya asili, siyo watu wa amani
 
Mzimbabwe tu alimnyoosha PAKA PAUL mpaka majeshi yake yakakimbilia Angola kwa msaada wa Unita.
 
Unajua hata nzi angeweza kabisa kuwa Kama nyuma

Usiwe nzi my friend…. Mavi siyo chakula

Hii akili yako si salama sana Kwa wanaokupenda
 
Wanamwendekeza sana huyu jamaa akitoka Congo sijui atahamia wapi.
Haamii popote, hiyo huwa ni propaganda ya Wacongo wapiganiwe vita vyao na watu wengine. Wenyewe hawana utashi wala morari kuipigania nchi yao then watuletee utapeli wao wa Kicongo eti wakimaliza Congo watavamia nchi nyingine that's bull crap, wanalea wenyewe vi-ingredients vinavyowapa Rwanda vijisababu vya kusaidia waasi then vijana wetu wakawafie wao huku wenyewe wakiwa busy na sebene huko Kinshasa.
Congolese naturally ni matapeli, wanatengeza 'atmosphere' ya eti PK akimaliza Congo(DRC) atavamia nchi nyingine hivyo asaidiwe kitu ambacho indirectly ni kuziokoa hizo nchi nyingine, bullshit.
Manipulation at it's finest.
 
Maafisa wa jeshi la Rwanda uliwaona Monduli usidhani that's the only place walipo, they're everywhere. Israel wapo, UK wapo, US wapo, Uganda wapo, Kenya wapo yaani wamewekeza katika jeshi kama Tanzania ilivyokuwa enzi za Nyerere. Wao mafunzo ya mbinu, discipline na kila kitu kinachowasaidia literally katika kila nyanja hawakiachi.
Wacongo wao wamebaki kuwa 'kubwa jinga' busy na masebene yao hiku viongozi wao wa kiraia na kijeshi wakishindana kuiba madini kujilimbikizia Ufaransa na Ubelgiji.
 
Mimi nilisha ongea humu zamani Rwanda wako vizuri kwenye vita hata JWTZ hawa mnao wasifu hawamuwezi Rwanda. Hivi JWTZ si wapo Congo sa wamefanya nini kuwazuia hao M23


JWTZ wale walio mpiga Idd Amin ni wale wa Nyerere, si hawa wa show off na mizinga mitatu ya saba saba.

South Africa hawezi kupigana vita niko na wewe kabisa hapo, kumiliki ndege za vita au drones huwezi shinda vita vya chini.

Afu lazima watu waelelewe Rwanda hapo Congo hatoki, akitoka ndio nchi yake imekufa, tofauti na South Africa na Tanzania pamoja na hao Malawi

Mimi nakubaliana na wewe msitu wa Congo utawamaliza hao South Africa, Tanzania na Malawi.

Poleni mnao dhani vita ni kurusha mabomu kwa kutumia ndege, Sukhui za Congo mbona ni mapambo zimefanya nini au drones zake, mpaa alie aombe msada kutoka South Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…