Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
SA hawezi kuingia kwa Kagame kivita,na Kagame hawezi ingia SA kwa vita na akithubutu itakuwa ndio mwisho wake,Kagame ni mbabe tu kwa sababu hapajatokea mtu wa kwenda kumfundisha adabu,anapiga misheni za kawaida tu kupoteza mtu mmoja mmoja kitu ambacho mataifa mengi yanakimudu.
Vita ya Congo ni mataifa tu hayajaamua kuwa serious kumaliza vita hivyo kwa sababu ya maslahi ambayo baadhi ya nchi zinapata kupitia vita hiyo,ila siku wakiamua kushughulika na vita,Rwanda atakuwa kama mtoto yatima alietelekezwa mjini