The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Nenda kwanza kwa Papa ukabarikiwe,mchukue na mumeo,Papa amesha toa ruksa.Sheikh twende uwanja wa vita tukaipiganie dini ya haki ya mwinyazimngu siyo kwenye keyboard Tu.
Wale Mayahudi tukiungana Waislamu tunawamaliza.
Toa hiyo tittle kwenye ID yako,unawadhalilisha wenye tittle zao,huna akili halafu unajipa tittle kubwa?Taqbir.
Unawaongelea Maprofesa wa majalalani kwamba nawadhalili?Toa hiyo tittle kwenye ID yako,unawadhalilisha wenye tittle zao,huna akili halafu unajipa tittle kubwa?
Au ulifikiri kujipa hiyo tittle kubwa ndio ingeficha upumbavu wako usiweze kuonekana?
Hao uliowataja wamo humu? mbona unakua na ufinyu wa kifikra kiasi hicho?Unawaongelea Maprofesa wa majalalani kwamba nawadhalili?
Prof Kabudi alimuita Magufuli Mungu, sasa hapa namdhalili Vipi?
Kuna Yule Profesa Pumba wa Buguruni, Mimi na yeye nani wa kuheshimiwa?
Hajisikii aibu, yaani wanasubiri mpaka Africa Kusini yenye watu weusi ndio ipeleke kesi wao kama waarabu Koko wametulia tu kama sio unafiki ni nini alafu kesho utawasikia wachezaji wa Morocco wakisema "sisi sio waafrika ni waarabu"View attachment 2861157Maneno ya Mstahiwa Mufti Mkuu wa Usultani wa Oman Sh. Ahmed Al khalili, kuhusu Africa ya Kusini, Allah amuhifadhi.
Mods naomba uzi huu msiuhamishe wala kuufuta
Usiwe na haraka wewe mchicha mwiba,just stay tune.Yani wewe Gaidi ndio unifanye Mimi nione JF chungu? Pambafu kabisa.
Hajisikii aibu, yaani wanasubiri mpaka Africa Kusini yenye watu weusi ndio ipeleke kesi wao kama waarabu Koko wametulia tu kama sio unafiki ni nini alafu kesho utawasikia wachezaji wa Morocco wakisema "sisi sio waafrika ni waarabu"
Ninao sijazaliwa peke anguWewe una ndugu acha kupigia watu kelele
sifai kuwa kiongozi? mbona mimi ni kiongozi tena nafasi kubwa. Ninacho kikataa ni udini wenu. Ndiyo maana mnapata tabu duniani kwa sababu ya kujihisi mnaonewa muda wote.Yaani kuwa mod tu ungekua na jazba namna hio
Sasa ungepewa ujumbe wa nyumba kumi ungekuaje
Hufai kuwa kiongozi popote pale kwahuo ukurupukaji ulokua nao
Pole sana mkuu. Leo nimeamka vzr na nikiamkaga hivi huwa ninakuwa na huruma na busara. Mods liangalieni hili ili ndg zetu wasiwe na huzuni juu ya huzuni.Nyuzi zangu nyingi tu zimehamishwa na zingine kufutwa, ila upande wa pili zinaachwa, ukitaka kujionea mfuatile huyu mkenya MK254 ana thread kibao humu na hazifutwi, jiulize kwanini!!
Kuliko wale walioaminishwa kufunga bila kula mpaka wakafa?Allah amuhifadhi wapi, where na kwanini why?
Hii dini imeaminiwa na watu duni kichwani sana
Unaijua Oman vizuri? Unajua misaada mingapi wenzetu wamejitolea kuwasaidia ndugu zetu wapalestina! Unajua namna gani masheikh wao wakiwa bega kwa bega na kuwaombea dua kwa wingi! Palestine haitawasahau wa Oman kwa ukarimu wao. Hapa kwetu maandamano tu mtu anatiwa mbaroni, hata kukusanyika na kuwaombea dua tu ni mtihani, tunaogopa kukatiwa misaada sio? Au nimekosea mkuu!Hajisikii aibu, yaani wanasubiri mpaka Africa Kusini yenye watu weusi ndio ipeleke kesi wao kama waarabu Koko wametulia tu kama sio unafiki ni nini alafu kesho utawasikia wachezaji wa Morocco wakisema "sisi sio waafrika ni waarabu"
Hajisikii aibu, yaani wanasubiri mpaka Africa Kusini yenye watu weusi ndio ipeleke kesi wao kama waarabu Koko wametulia tu kama sio unafiki ni nini alafu kesho utawasikia wachezaji wa Morocco wakisema "sisi sio waafrika ni waarabu"
Mkuu maandamano unaweza ukaanzisha hata wewe!
Nafikiri ungekuwa umefany kitu bora zaidi, kuliko kuandika hapa haisIadii chochote.
Ujumbe umefika na umeelewa.Nini kimemtokea ponda?
Hebu nionyeshe kipande kimoja tu katika nyuzi nilizoanzisha kisha nikatoa matusi na kauli nzinto kama unavyosema! NasubiriJielimishe kanuni, fuatilia nyuzi zangu zote hamna hata moja huwa siweki chanzo cha habari zangu kwa kifupi ukianzisha uzi wenye utata wowote hakikisha umeweka wapi umepata hizo taarifa ili hao mods wafuate na kujiridhisha kwamba sio uzushi wako wewe.
Wengi mnaanzisha nyuzi, mnafyatuka matusi na kauli nzito kisha mnamaliza bila chanzo.
Ujumbe umefika na umeelewa.
Asante
Waende wap?