Afrika Kusini yaishitaki Israel

Afrika Kusini yaishitaki Israel

Sheikh twende uwanja wa vita tukaipiganie dini ya haki ya mwinyazimngu siyo kwenye keyboard Tu.

Wale Mayahudi tukiungana Waislamu tunawamaliza.
Nenda kwanza kwa Papa ukabarikiwe,mchukue na mumeo,Papa amesha toa ruksa.
 
Toa hiyo tittle kwenye ID yako,unawadhalilisha wenye tittle zao,huna akili halafu unajipa tittle kubwa?
Au ulifikiri kujipa hiyo tittle kubwa ndio ingeficha upumbavu wako usiweze kuonekana?
Unawaongelea Maprofesa wa majalalani kwamba nawadhalili?

Prof Kabudi alimuita Magufuli Mungu, sasa hapa namdhalili Vipi?

Kuna Yule Profesa Pumba wa Buguruni, Mimi na yeye nani wa kuheshimiwa?
 
Unawaongelea Maprofesa wa majalalani kwamba nawadhalili?

Prof Kabudi alimuita Magufuli Mungu, sasa hapa namdhalili Vipi?

Kuna Yule Profesa Pumba wa Buguruni, Mimi na yeye nani wa kuheshimiwa?
Hao uliowataja wamo humu? mbona unakua na ufinyu wa kifikra kiasi hicho?
The way unavyobuild argument zako ndio unazidi kujidhihirisha.
 
View attachment 2861157Maneno ya Mstahiwa Mufti Mkuu wa Usultani wa Oman Sh. Ahmed Al khalili, kuhusu Africa ya Kusini, Allah amuhifadhi.

Mods naomba uzi huu msiuhamishe wala kuufuta
Hajisikii aibu, yaani wanasubiri mpaka Africa Kusini yenye watu weusi ndio ipeleke kesi wao kama waarabu Koko wametulia tu kama sio unafiki ni nini alafu kesho utawasikia wachezaji wa Morocco wakisema "sisi sio waafrika ni waarabu"
 
Yaani kuwa mod tu ungekua na jazba namna hio

Sasa ungepewa ujumbe wa nyumba kumi ungekuaje

Hufai kuwa kiongozi popote pale kwahuo ukurupukaji ulokua nao
sifai kuwa kiongozi? mbona mimi ni kiongozi tena nafasi kubwa. Ninacho kikataa ni udini wenu. Ndiyo maana mnapata tabu duniani kwa sababu ya kujihisi mnaonewa muda wote.
 
Nyuzi zangu nyingi tu zimehamishwa na zingine kufutwa, ila upande wa pili zinaachwa, ukitaka kujionea mfuatile huyu mkenya MK254 ana thread kibao humu na hazifutwi, jiulize kwanini!!
Pole sana mkuu. Leo nimeamka vzr na nikiamkaga hivi huwa ninakuwa na huruma na busara. Mods liangalieni hili ili ndg zetu wasiwe na huzuni juu ya huzuni.
 
Allah amuhifadhi wapi, where na kwanini why?

Hii dini imeaminiwa na watu duni kichwani sana
Kuliko wale walioaminishwa kufunga bila kula mpaka wakafa?
Kuliko wale waliochomwa ndani ya Kanisa na Kibwetere wakiaminishwa kua mwisho wa dunia?
Kushinda wale wanaoamini kua wanaweza kua matajiri kwa chumvi na maji ya upako?
Kuzidi wale walioenda Airport wakitaka kusafiri kimiujiza bila Passport wala kupanda Ndege?
Kuwazidi wale wanaowabariki wapenzi wa jinsia moja?
 
Hajisikii aibu, yaani wanasubiri mpaka Africa Kusini yenye watu weusi ndio ipeleke kesi wao kama waarabu Koko wametulia tu kama sio unafiki ni nini alafu kesho utawasikia wachezaji wa Morocco wakisema "sisi sio waafrika ni waarabu"
Unaijua Oman vizuri? Unajua misaada mingapi wenzetu wamejitolea kuwasaidia ndugu zetu wapalestina! Unajua namna gani masheikh wao wakiwa bega kwa bega na kuwaombea dua kwa wingi! Palestine haitawasahau wa Oman kwa ukarimu wao. Hapa kwetu maandamano tu mtu anatiwa mbaroni, hata kukusanyika na kuwaombea dua tu ni mtihani, tunaogopa kukatiwa misaada sio? Au nimekosea mkuu!
 
Hajisikii aibu, yaani wanasubiri mpaka Africa Kusini yenye watu weusi ndio ipeleke kesi wao kama waarabu Koko wametulia tu kama sio unafiki ni nini alafu kesho utawasikia wachezaji wa Morocco wakisema "sisi sio waafrika ni waarabu"

Kwani wamorocco sio waarabu? Kuwa na aibu mzee, usilazimishe wakane race zao kisa wanaishi Afrika, wewe kama mwafrika baki na uafrika wako, na wao kama waarabu wabaki na uarabu wao kama ilivyo kwa wazungu n.k
 
Jielimishe kanuni, fuatilia nyuzi zangu zote hamna hata moja huwa siweki chanzo cha habari zangu kwa kifupi ukianzisha uzi wenye utata wowote hakikisha umeweka wapi umepata hizo taarifa ili hao mods wafuate na kujiridhisha kwamba sio uzushi wako wewe.
Wengi mnaanzisha nyuzi, mnafyatuka matusi na kauli nzito kisha mnamaliza bila chanzo.
Hebu nionyeshe kipande kimoja tu katika nyuzi nilizoanzisha kisha nikatoa matusi na kauli nzinto kama unavyosema! Nasubiri
 
Mods wanafuta post nyingi zinazoongelea vizuri uislam na pia zinazoongelea vibaya wakristo, hii censorship inapaswa kukomeshwa.
 
Back
Top Bottom