Afrika Mashariki: Katambi na Vyama vya Siasa Kainerugaba na Vyombo vya habari. Tunaelekea wapi?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Huku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari.

Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko Marekani au yupo hai.

Mnamo Machi 21, 2026.
Yoweri Museveni alisema kwaamba ana hofu kubwa juu ya afya ya mke wake. Watu wanataka kujua anaendeleaje kwani kuna habari zinasambaa kwamba kafa.

Mtoto wa Museven ambaye ni Mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ameamua kuamuru kufungwa kwa vyombo vikuu vya habari huru, ikiwa ni pamoja na NTV Uganda na Spark TV (inayomilikiwa na Nation Media Group), na hivyo kuvilazimisha kuacha kazi.

Kisa ndi chanzo cha habari hizo xa mama yake kufa.

Wanajeshi wenye silaha walikuwa wamejipanga nje ya majengo yao, wakitaja mvutano wa kisiasa na upinzani wa wazi wa Chifu kwa uhuru wa vyombo vya habari.

Kumbuka Janet Kataaha Museveni ni Mke wa Rais na Waziri wa Elimu na Michezo Nchini Uganda
 
Mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba aliamuru kufungwa kwa vyombo vikuu vya habari huru, ikiwa ni pamoja na NTV Uganda na Spark TV (inayomilikiwa na Nation Media Group), na hivyo kuvilazimisha kuacha kazi.

Wanajeshi wenye silaha walikuwa wamejipanga nje ya majengo yao, wakitaja mvutano wa kisiasa na upinzani wa wazi wa Chifu kwa uhuru wa vyombo vya habari.
Nchi za ukanda huu zinaongozwa na mazezeta
 
Muhoozi Kainerugaba is a curse!If,at all,Ugandans won't take some measures alongated with that ever pouting male child of the very partially dictator,Yoweri Kaguta Museveni, darkened site is within no time in there!
 
Huku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari.

Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko Marekani au yupo hai.

Mnamo Machi 21, 2026.
Yoweri Museveni alisema kwaamba ana hofu kubwa juu ya afya ya mke wake. Watu wanataka kujua anaendeleaje kwani kuna habari zinasambaa kwamba kafa.

Mtoto wa Museven ambaye ni Mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ameamua kuamuru kufungwa kwa vyombo vikuu vya habari huru, ikiwa ni pamoja na NTV Uganda na Spark TV (inayomilikiwa na Nation Media Group), na hivyo kuvilazimisha kuacha kazi.

Kisa ndi chanzo cha habari hizo xa mama yake kufa.

Wanajeshi wenye silaha walikuwa wamejipanga nje ya majengo yao, wakitaja mvutano wa kisiasa na upinzani wa wazi wa Chifu kwa uhuru wa vyombo vya habari.
Bila mkabala hakuna kiti kitaenda
 
Kupewa mamlaka yanayokuzidi na hujui uyatumie wapi hayo ndio matokeo yake, hawa viongozi weetu wasipewe mamlaka kuzidi inakuwa mbaya sana. Ona saivi wanavyoropoka ropoka ovyo hajui ataathiri maisha ya wengine kwa kiasi gani, biashara, ajira za watu, uchumi wa taasisi, makampuni, n.k
 
Back
Top Bottom