figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Nchi za ukanda huu zinaongozwa na mazezetaHuku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari.
Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko Marekani au yupo hai.
Mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba aliamuru kufungwa kwa vyombo vikuu vya habari huru, ikiwa ni pamoja na NTV Uganda na Spark TV (inayomilikiwa na Nation Media Group), na hivyo kuvilazimisha kuacha kazi.
Wanajeshi wenye silaha walikuwa wamejipanga nje ya majengo yao, wakitaja mvutano wa kisiasa na upinzani wa wazi wa Chifu kwa uhuru wa vyombo vya habari.
Bila mkabala hakuna kiti kitaendaHuku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari.
Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko Marekani au yupo hai.
Mnamo Machi 21, 2026.
Yoweri Museveni alisema kwaamba ana hofu kubwa juu ya afya ya mke wake. Watu wanataka kujua anaendeleaje kwani kuna habari zinasambaa kwamba kafa.
Mtoto wa Museven ambaye ni Mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ameamua kuamuru kufungwa kwa vyombo vikuu vya habari huru, ikiwa ni pamoja na NTV Uganda na Spark TV (inayomilikiwa na Nation Media Group), na hivyo kuvilazimisha kuacha kazi.
Kisa ndi chanzo cha habari hizo xa mama yake kufa.
Wanajeshi wenye silaha walikuwa wamejipanga nje ya majengo yao, wakitaja mvutano wa kisiasa na upinzani wa wazi wa Chifu kwa uhuru wa vyombo vya habari.
Ni laana kila sehemu. Hata Tanzania tumepata mwanamke laana. Mtoto wa dawaMuhoozi Kainerugaba is a curse!
Aibu sana kuwa dictated na kavulana kajinga kanakodeka kwa mzazi wake.The damn shame!Ni laana kila sehemu. Hata Tanzania tumepata mwanamke laana. Mtoto wa dawa
Na tanzania tunaelekea huko hukoUganda Muhoozi ndiye Bwana Mungu wao.. Kila Idara ya Serikali anaisimamia yeye kimaamuzi..
Kupewa mamlaka yanayokuzidi na hujui uyatumie wapi hayo ndio matokeo yake, hawa viongozi weetu wasipewe mamlaka kuzidi inakuwa mbaya sana. Ona saivi wanavyoropoka ropoka ovyo hajui ataathiri maisha ya wengine kwa kiasi gani, biashara, ajira za watu, uchumi wa taasisi, makampuni, n.kHuku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari.
Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko Marekani au yupo hai.
Mnamo Machi 21, 2026.
Yoweri Museveni alisema kwaamba ana hofu kubwa juu ya afya ya mke wake. Watu wanataka kujua anaendeleaje kwani kuna habari zinasambaa kwamba kafa.
Mtoto wa Museven ambaye ni Mkuu wa jeshi la Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ameamua kuamuru kufungwa kwa vyombo vikuu vya habari huru, ikiwa ni pamoja na NTV Uganda na Spark TV (inayomilikiwa na Nation Media Group), na hivyo kuvilazimisha kuacha kazi.
Kisa ndi chanzo cha habari hizo xa mama yake kufa.
Wanajeshi wenye silaha walikuwa wamejipanga nje ya majengo yao, wakitaja mvutano wa kisiasa na upinzani wa wazi wa Chifu kwa uhuru wa vyombo vya habari.
Kumbuka Janet Kataaha Museveni ni Mke wa Rais na Waziri wa Elimu na Michezo Nchini Uganda