figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #21
Orodha ilitakiwa ziwe Nchi 10 tu, wakatoa bonasi ya Nchi moja ziwe 11, bado Tanzania haimo. Tatizo ni nini?Sasa Sisi ni wangapi ?.
Bwana yuleeee alikuwa mwongo kweri kweri.
Ule ni uchafu tu ukienda nchi za wezetuZile furahi over za Tazara na ubungo hazimo?
Lqbda cheti cha milembeWewe itakua ulitumbuliwa kwa ufisadi au ni cheti feki. Samia mwenyewe kaenda ghana akaja na cheti cha benki ya afrika kutambua kazi ya magufuli tanzania kwenye miundombinu. Mwenyewe kaabika ikabidi akubali jpm ndio kafanya kazi kubwaya miundombinu tz.
hao shida baba zao walikuwa wezi wakafilisiwa ndo maana hasira zao hazitaisha.wengine walitumbuliwa sababu walijazana kwenye ofisi zenye malipo mazuri huku watoto wa walalahoi wakifanya kazi zenye malipo duni hivyo wataendelea kulia lia humu lkn ndo hiyvo wako nje ya mfumo.Uliyemtaja ni awamu ya 5 ,umesema hajafanya kitu,hao wengine mbona huwazungumzii?Nchi ulizotaja hapo hizo barabara zilijengwa ndani ya awamu moja au mbili?Ujenzi wa nchi ni mchakato.Siyi jambo la kuamka na mtu mmoja ghafla tu na kutimiza.Sema chama Tawala kwa zaidi ya miaka 40 na awamu zaidi ya nne bado inasua sua katika ujenzi wa nchi kulinganisha na nchi nyingine Afrika.
Ila ubungo pale ile ramani yake ya mwanzo ilikua nzuri sana sijui ikawaje,sehemu nyingine inayoenda kuharibiwa ni hilo daraja la jangwani,imagine pale inajengwa interchange itakayounga na daraja la salendar,kinondoni mkwajuni,likaenda hadi jangwani njia panda ya loyola ,kinapigwa kitu cha juu toka mapipa hadi fire,barabara iliyopo sasa ikabaki chini vile vile sababu ya interchange,ila kitapigwa kitu kama cha mfugale ndio imeisha hiyoKwa maana ya quality roads, Tanzania haiwezi kuingia kabisa. Hizi barabara zinazojengwa na Wachina zinazojaa mashimo baada ya mwaka mmoja (nyingine chini ya miezi 6), utaziingiza kwenye quality roads?
Barabara ambayo angalao ilikuwa na kiwango cha juu ni ile iliyojengwa na Denmark (Mikumi to Mafinga) lakini baadaye tena imekuja kuharibiwa kwa kuweka matuta. Uliona wapi highway inakuwa na matuta?
Hizo nchi zote na baadhi ambazo hazimo kwenye hizo 10 best, mijini wana flyovers hasa, siyo yale madaraja yetu ya Ubungo na TAZARA ambayo ukiwa kwenye barabara moja huwezi kubadili kwenda barabara nyingine.
SHIDA YA CHAWA, MAFANIKIO KIDOGO, SIFA INAKUWA KAMA VILE SISI TUMEFANYA MAMBO YA AJABU KULIKO DUNIA NZIMA. TANZANIA KATIKA MAMBO MENGI, BADO TUPO NYUMA.
Kwa hiyo unajivunia kushika namba 12 kati 15?Tanzania ni ya 12 kutokana na hio list ranking.
Kuweka mpka namba kumi na moja kwenye list ya nchi 15 zilizotajwa ni wazi kia upo biased.
Tujitaidi kusema ukweli objectively.
Kwa hiyo unajivunia kushika namba 12 kati 15?
Mshukuruni hata hapo alipotufikisha, wakati anaingia mabasi yalikuwa yanapitia Kenya kwenda mikoa ya nfnai ya nchi yetu au mlisha jjisahaulisha haya? Lakini ni yeye aliyesema tutaendesha taxi mpaka huko mikoa iliyokuwa inafikika kupitia nchi jirani...Sasa Sisi ni wangapi ?.
Bwana yuleeee alikuwa mwongo kweri kweri.
Mleta post mwenyewe ni CCM sema sio timu Magufuli.Uliyemtaja ni awamu ya 5 ,umesema hajafanya kitu,hao wengine mbona huwazungumzii?Nchi ulizotaja hapo hizo barabara zilijengwa ndani ya awamu moja au mbili?Ujenzi wa nchi ni mchakato.Siyi jambo la kuamka na mtu mmoja ghafla tu na kutimiza.Sema chama Tawala kwa zaidi ya miaka 40 na awamu zaidi ya nne bado inasua sua katika ujenzi wa nchi kulinganisha na nchi nyingine Afrika.
Eeh kumbe,mwanasiasa mtu wa ajabu,akimmaliza jirani anahamia kwakeMleta post mwenyewe ni CCM sema sio timu Magufuli.
Tanzania kwasasa hakuna upinzani wa vyama kama zamani.
Kwasasa kuna upinzani baina ya HAPAKAZI TU, na KAZI IENDELEE.
Mtoa post anaonekana ni timu KAZI IENDELEE!!!!!
Unamwongelea Magufuli au Kikwete? Ni utawala wa Kikwete ndio uliofanya magari ya kutoka kanda ya Ziwa kwenda Dar yasipite tena Kenya. Wakati huo Magufuli alikuwa ni mtu wa kutumwa na siyo wa kufanya maamuzi.Mshukuruni hata hapo alipotufikisha, wakati anaingia mabasi yalikuwa yanapitia Kenya kwenda mikoa ya nfnai ya nchi yetu au mlisha jjisahaulisha haya? Lakini ni yeye aliyesema tutaendesha taxi mpaka huko mikoa iliyokuwa inafikika kupitia nchi jirani...
Watu msio na aibu wala moral conscious...
kila awamu ingefanya kwa aslimia hizi tungekuwa mbali sana.Naona kuna watu hawaoni kabisa juhudi zilozofanywa na JPM,Tupongeze na wengine wenye moyo huo wakija wafanye mengine zaidi.Tunachotaka wananchi ni maendeleo yanayoonekana na yanaisaidia jamii.Mshukuruni hata hapo alipotufikisha, wakati anaingia mabasi yalikuwa yanapitia Kenya kwenda mikoa ya nfnai ya nchi yetu au mlisha jjisahaulisha haya? Lakini ni yeye aliyesema tutaendesha taxi mpaka huko mikoa iliyokuwa inafikika kupitia nchi jirani...
Watu msio na aibu wala moral conscious...
Akishirikiana na Magu katika wizara ya ujenzi.Unamwongelea Magufuli au Kikwete? Ni utawala wa Kikwete ndio uliofanya magari ya kutoka kanda ya Ziwa kwenda Dar yasipite tena Kenya. Wakati huo Magufuli alikuwa ni mtu wa kutumwa na siyo wa kufanya maamuzi.
Kwa kweli utawala wa Kikwete, kwenye upande wa ujenzi wa barabara za lami, mpaka sasa, ndio uliojenga kilometa nyingi kuliko utawala mwingine wowote.
Sio kila kitu watanzania mtachukua nafasi ya kwanza...... Alaf hapa TZ bado sana sio huyo maza sio huyo chuma sio huyo kikwete wote walewaleSalaam Wakuu,
View attachment 2382228
Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu.
Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini.
View attachment 2382234
Hayati Magufuli alivyokuwa anajisifia hadi kujiita Askari wa Mwamvuli kwa kufanya kazi ya barabara vizuri
Umasikini Ujinga na Maradhi; Kundi la Wajinga likapumbaza Taifa eti Hayati ni Mchapa kazi kajenga barabara, sijui Nchi iliibiwa sana hivyo kaongea na Barrick watalipa Kodi trilioni zaidi ya 347, huku bajeti ya nchi kwa mwaka ikiwa haifiki trilioni 40.
Haya mambo ya kumsifia hayati Magufuli tuwaachie Wananchi wa Chato japo hajawahi kuwa hata balozi wao wa nyumba kumi.
Mungu anajibu maombi.
View attachment 2382185
Top 11 African Countries With Quality Road🛣
1: Namibia🇳🇦 (score 5.2) world ranking 23
2: Egypt 🇪🇬(Score 5.0)world ranking 28
3: South Africa🇿🇦 (score 5.0) world ranking 29
4: Rwanda🇷🇼 (score 5.0) world ranking 31
5: Ivory Coast🇮🇪 (score 4.7) world ranking 42
6: Mauritius🇲🇺 (score 4.7) world ranking 44
7: Morocco🇲🇦 (score 4.4) world ranking 55
8: Kenya🇰🇪 (score 4.2) world ranking 61
9: Botswana🇧🇼 (score 4.1) world ranking 64
10: Cape Verde🇨🇻 (score 4.1) world ranking
11: Senegal🇸🇳 (score 4.0) world ranking 71
🌐Source: World Economic Forum’s Global Competitiveness Report Index