Afrika: Nchi 10 zenye barabara nzuri Tanzania haimo, Hayati Magufuli alikuwa anafanya nini?

Kenya tumewaacha mbali sana.. ninamashaka na mtoa takwimu

Naomba kujua source ya hii taarifa..

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mumuache mzee wa idadi ya mbuzi ng’ombe na samaki apumzike kwa amani
Raisi wa wanyonge na wazalendo alieiba na kuzurumu uchaguzi kwa kutumia jeshi la Tanzania tena watoto wa maskin walio weng
 
Huna .maho ya kuona? Huwezi hata kulinganisha kipindi kabla hajawa waziri wa ujenzi na baada yake?

Andiko lako limeongozwa na chuki kuliko uhalisia au uwezo wako wa kupambanua mambo uko chini.

Kuna wakati nchi hii toka Dsm hadi Mikoa ya kusini watu walilala njiani kwa sababu barabara ya Rufiji haipotiki, watu walitegemea meli ambayo walipigana vikumbo kupata tiketi. Wale wa Kanda ya ziwa walilazimika kupitia Nzirobi na au Kampala ili tu kwenda, makwao. Naku.buka wakati anaanza alisema kuwa anataka ndani ya miaka mitano ijayo watu waweze kusafiri kwa teksi toka mtwara hadi mwanza na alichekwa kuwa ni kitu kisichowezelana lakini leo hii hiyo imewezekana.

Linganisha wakati anaanza Tanzania ilikuwa ya ngapi na sasa ni ya ngapi.
 
Orodha ilitakiwa ziwe Nchi 10 tu, wakatoa bonasi ya Nchi moja ziwe 11, bado Tanzania haimo. Tatizo ni nini?
Wakatoa kwa lengo gani?.. mbona kuna watanzania wengi sana mnakosa uzalendo laleq zenu hivi ushaenda kenya ukaona barabara zao.. sisi ya unatoka dsm mpaka kigoma lami tupu.. mpaka Mbeya.. Kagera Mwanza.. Kilimanjaro n.k nendeni mkajionee wenyewe huko Kenya alafu mrudi hapa kusoma huo uzi

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mzee wa Chato kwake quantity ilikua inamfaa sana kuliko quality ndo maana barabara nyingi mpya zimeshachakaa.
 
Hata top 20 Tanzania haiwezi kuwemo..

Mwendazake alikuwa anajenga esijiara 😁😁..

Hatuwezi kuwemo kwa sababu tunajenga vitu vya ajabu ajabu kwa gharama kubwa kama hili daraja la Ubungo limegharimu Bei kubwa na ni baya wakati Ghana limegharimu Bei nafuu na kali kuliko letu 👇
 
Tuanzie kwenye innovation..


Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Muulize mama yako
 

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Awamu iliyojenga barabara kwa wingi ni kipindi cha Kikwete na sio Magufuli
 
Wakati huo unaosema Rais ni Kikwete na sio Magufuli na aliesema tutatoka Mwanza mpaka Mtwara ni Kikwete sasa sifa au lawama anastahili Kikwete na sio Magufuli
 
Wakati huo unaosema Rais ni Kikwete na sio Magufuli na aliesema tutatoka Mwanza mpaka Mtwara ni Kikwete sasa sifa au lawama anastahili Kikwete na sio Magufuli
Hii sentensi uliyoiandika inathibitisha chuki yako dhidi ya Magufuli, unakataa hata ukweli wa kihistoria! Pengine labda ulikuwa mtoto aliyetamka kuwa watu watasafidi kwa teksi ni Magufuli sio Kikwete. Pili ujenzi wa barabara kwa mtindo huu uliasisiwa wakati wa Mkapa na waziri wake wa ujenzi alikuwa .Magufuli. Mzgufuli ndiye aliyeanzisha kujenga barabara kwa kutegemea pesa zetu za ndani kwa kupitia tozo ya mafuta .
 
👍👍🙏
 
Ahsante kwa taarifa, siyo wote lazima tufanane...
 
Wakati wenzetu china wanatuzidi maendeleo , sisi tunawazidi democrasia na uhuru wa kutoa mawazo ambayo wengine pia wana uhuru wa kuyapinga
 
Sasa Sisi ni wangapi ?.
Bwana yuleeee alikuwa mwongo kweri kweri.
Wakati wa Mwendazake Barabara za Tanzania zikuwa Bora kuliko barabara zote hapa Duniani. Akili ya Mwendazake ndo ilikuwa Akili ya kila Mtanzani ukibisha kuwa Tanzania ndo yenye barabara Nzuri kuliko nchi zote Duniani ilikuwa kujitafitia Matatizo ya bure bure na watu Wasiojulikana!
 
Mzee wa Chato kwake quantity ilikua inamfaa sana kuliko quality ndo maana barabara nyingi mpya zimeshachakaa.
Mfano ipi mkuu...njoo makumbusho,tandale,sinza,yombo huku uone mikeka ilivyonyooka alafu kishimo cha kuokoteza hakuna.
 
Laiti tungejifunza hili, tungesaidika kama nchi, lakini tumetawaliwa na ubinafsi na umimi mwingi, uswahili katika picha yake kamili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…