nasikia limehukumiwa kunyongwa mpaka life kwa ukatili lililoufanya Tanzania (court of After Tanzania kwa Mungu)Yule muuaji alijaa tu propaganda na kutafuta kiki
Imagine hizo nchi kama Namibia, Rais wake hata watu wengi hawamjui, lakini nchi yake ipo top
Zee la kiki sasa, linajitia umaarufu ila maendeleo sisimizi
Kama kenya iko kwa hii list basi ni batili..hakuna nchi ina barabara mbovu kama KenyaSalaam Wakuu,
View attachment 2382228
Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu.
Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini.
View attachment 2382234
Hayati Magufuli alivyokuwa anajisifia hadi kujiita Askari wa Mwamvuli kwa kufanya kazi ya barabara vizuri
Umasikini Ujinga na Maradhi; Kundi la Wajinga likapumbaza Taifa eti Hayati ni Mchapa kazi kajenga barabara, sijui Nchi iliibiwa sana hivyo kaongea na Barrick watalipa Kodi trilioni zaidi ya 347, huku bajeti ya nchi kwa mwaka ikiwa haifiki trilioni 40.
Haya mambo ya kumsifia hayati Magufuli tuwaachie Wananchi wa Chato japo hajawahi kuwa hata balozi wao wa nyumba kumi.
Mungu anajibu maombi.
View attachment 2382185
Top 11 African Countries With Quality Road🛣
1: Namibia🇳🇦 (score 5.2) world ranking 23
2: Egypt 🇪🇬(Score 5.0)world ranking 28
3: South Africa🇿🇦 (score 5.0) world ranking 29
4: Rwanda🇷🇼 (score 5.0) world ranking 31
5: Ivory Coast🇮🇪 (score 4.7) world ranking 42
6: Mauritius🇲🇺 (score 4.7) world ranking 44
7: Morocco🇲🇦 (score 4.4) world ranking 55
8: Kenya🇰🇪 (score 4.2) world ranking 61
9: Botswana🇧🇼 (score 4.1) world ranking 64
10: Cape Verde🇨🇻 (score 4.1) world ranking
11: Senegal🇸🇳 (score 4.0) world ranking 71
🌐Source: World Economic Forum’s Global Competitiveness Report Indexnimefika kes
Huyo jamaa aliwashika hawatoka wakamsahau hadi kizazi chao cha nneMnapenda kuwacharula team magu
Kama hajafanya chochote Mwacheni Kila siku nyuzi Magu magu
Hizi nyuzi zinaboa
Huwa wanasema kuuliza si Ujinga lakini hii haiondoi ukweli kuwa kuna Maswali mengine ni ya Kijinga. Ungeuliza CCM miaka zaidi ya 50 inafanya nini Serikalin. Maana hata Magufuli alikuwa CCM.Salaam Wakuu,
View attachment 2382228
Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu.
Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini.
View attachment 2382234
Hayati Magufuli alivyokuwa anajisifia hadi kujiita Askari wa Mwamvuli kwa kufanya kazi ya barabara vizuri
Umasikini Ujinga na Maradhi; Kundi la Wajinga likapumbaza Taifa eti Hayati ni Mchapa kazi kajenga barabara, sijui Nchi iliibiwa sana hivyo kaongea na Barrick watalipa Kodi trilioni zaidi ya 347, huku bajeti ya nchi kwa mwaka ikiwa haifiki trilioni 40.
Haya mambo ya kumsifia hayati Magufuli tuwaachie Wananchi wa Chato japo hajawahi kuwa hata balozi wao wa nyumba kumi.
Mungu anajibu maombi.
View attachment 2382185
Top 11 African Countries With Quality Road🛣
1: Namibia🇳🇦 (score 5.2) world ranking 23
2: Egypt 🇪🇬(Score 5.0)world ranking 28
3: South Africa🇿🇦 (score 5.0) world ranking 29
4: Rwanda🇷🇼 (score 5.0) world ranking 31
5: Ivory Coast🇮🇪 (score 4.7) world ranking 42
6: Mauritius🇲🇺 (score 4.7) world ranking 44
7: Morocco🇲🇦 (score 4.4) world ranking 55
8: Kenya🇰🇪 (score 4.2) world ranking 61
9: Botswana🇧🇼 (score 4.1) world ranking 64
10: Cape Verde🇨🇻 (score 4.1) world ranking
11: Senegal🇸🇳 (score 4.0) world ranking 71
🌐Source: World Economic Forum’s Global Competitiveness Report Index
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan has been named the 2022 winner of the Africa Road Builders–Babacar Ndiaye Trophy. The prize is awarded to leading figures in Africa who have demonstrated their commitment to the development of transport infrastructure on the continent...Salaam Wakuu,
View attachment 2382228
Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu.
Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini.
View attachment 2382234
Hayati Magufuli alivyokuwa anajisifia hadi kujiita Askari wa Mwamvuli kwa kufanya kazi ya barabara vizuri
Umasikini Ujinga na Maradhi; Kundi la Wajinga likapumbaza Taifa eti Hayati ni Mchapa kazi kajenga barabara, sijui Nchi iliibiwa sana hivyo kaongea na Barrick watalipa Kodi trilioni zaidi ya 347, huku bajeti ya nchi kwa mwaka ikiwa haifiki trilioni 40.
Haya mambo ya kumsifia hayati Magufuli tuwaachie Wananchi wa Chato japo hajawahi kuwa hata balozi wao wa nyumba kumi.
Mungu anajibu maombi.
View attachment 2382185
Top 11 African Countries With Quality Road🛣
1: Namibia🇳🇦 (score 5.2) world ranking 23
2: Egypt 🇪🇬(Score 5.0)world ranking 28
3: South Africa🇿🇦 (score 5.0) world ranking 29
4: Rwanda🇷🇼 (score 5.0) world ranking 31
5: Ivory Coast🇮🇪 (score 4.7) world ranking 42
6: Mauritius🇲🇺 (score 4.7) world ranking 44
7: Morocco🇲🇦 (score 4.4) world ranking 55
8: Kenya🇰🇪 (score 4.2) world ranking 61
9: Botswana🇧🇼 (score 4.1) world ranking 64
10: Cape Verde🇨🇻 (score 4.1) world ranking
11: Senegal🇸🇳 (score 4.0) world ranking 71
🌐Source: World Economic Forum’s Global Competitiveness Report Index
Alikuwa msanii tu yule mzeeSalaam Wakuu,

Let me jibu you so shortly,Salaam Wakuu,

Top 11 African Countries With Quality Road[emoji922]
1: Namibia[emoji1176] (score 5.2) world ranking 23
2: Egypt [emoji1093](Score 5.0)world ranking 28
3: South Africa[emoji1221] (score 5.0) world ranking 29
4: Rwanda[emoji1206] (score 5.0) world ranking 31
5: Ivory Coast[emoji1132] (score 4.7) world ranking 42
6: Mauritius[emoji1164] (score 4.7) world ranking 44
7: Morocco[emoji1173] (score 4.4) world ranking 55
8: Kenya[emoji1139] (score 4.2) world ranking 61
9: Botswana[emoji1052] (score 4.1) world ranking 64
10: Cape Verde[emoji1065] (score 4.1) world ranking
11: Senegal[emoji1211] (score 4.0) world ranking 71
[emoji273]Source: World Economic Forum’s Global Competitiveness Report Index
alituambia anajenga viwanda? yeye na yule bwana mwijagekwan mwendazake alijenga barabara au madaraja ?
wakati JK anafariki huko UK sijui ulikuwa na umri gani na ulikuwa wapi? kwa taarifa tu ni kwamba msiba wa kambarage ulihudhuriwa na kuwasikitisha watu wengi kuliko ule wa JPM na ukumbuke kipindi hicho hakukuwa na social media na redio nyiiingi kama hizi unazoona na kufuatilia leo?Let me jibu you so shortly,
Wale umati mkubwa waliomzika Magu ndo wanaojua walifanyiwa nini na JPM na nakueleza haitatokea Rais wa Tz akafariki na kuzikwa kwa mguso kama kifo cha JPM kilivyowagusa watu off course in near future.
na viwanda vyake viliishia wap maan kwny kampen zke hatuskia tena mamb ya viwandaalituambia anajenga viwanda? yeye na yule bwana mwijage
hahaha vilikuwa viwanda hewa...... miradi bubu ya wazalendona viwanda vyake viliishia wap maan kwny kampen zke hatuskia tena mamb ya viwanda
😁 tumuache marehem apumzkehahaha vilikuwa viwanda hewa...... miradi bubu ya wazalendo
Mkiambiwa nyumba zivunjwe barabara zijengwe mnapiga kelele. Pia linganisha ukubwa wa hizo nchi na TanzaniaSasa Sisi ni wangapi ?.
Bwana yuleeee alikuwa mwongo kweri kweri.
marehemu hakuwa mtu wa kawaida kama wewe na mie.... yule alikuwa raisi jina lake linatengeneza habari😁 tumuache marehem apumzke
John pombe magufuli huyo n mtu wa kawaida t km me na u ila muheshmiw dr. John pombe maguful hy sio mtu wa kawaid kicheo n km n kiongoz bc hakosei ila km watu wengn john anabkia kuwa mtu na anakosea vile alaf sio lzm uwe rais tu au uwe mtu maaan ndo jina lako litengnez habar unawez ukawa mtu wa kawaid tu jina lako likawa habar dunia nzma ndan ya sec tumarehemu hakuwa mtu wa kawaida kama wewe na mie.... yule alikuwa raisi jina lake linatengeneza habari
Aliwaachia mimba ndio maanaMnapenda kuwacharula team magu
Kama hajafanya chochote Mwacheni Kila siku nyuzi Magu magu
Hizi nyuzi zinaboa
Tukiwambia Magu aliwabutua akawaachia mimba wanabisaha yani sijui wana shida ganiMkuu mbona unajichoresha, kwaiyo Ujenzi wa Barabara ulianza awamu ya tano?mbona hutaji Mawaziri wa awamu ya kwanza na ya pili?
Acha chuki Mkuu,zitakupa ugonjwa wa moyo.Magufuli alizaliwa ,akakua,akatumikikia Taifa na muda ulipofika akauwawa.Kwaiyo nadhani na wewe pambana kivyako ili vizazi vyako vije kuona kazi zako.
Wewe umemzidi nini Magufuli kimaisha?pamoja na kufa kwake familia yake inakula bata,wewe familia yako unaendeleaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi barabara zote zilizojengwa, mainly kw WB money na wahisani wengine kama JICA zilishakuwa kwenye mchakato wa kujenhaa tangu wakati wa Kikwete. Yule mbuzi hakuna mkataba mpya zaidi ya haya ma SGR na Stiglers'....white elephant projects.Embu nitajie barabara ya maana iliyo jengwa mzee wa chato akiwa rais