Afrika: Nchi 10 zenye barabara nzuri Tanzania haimo, Hayati Magufuli alikuwa anafanya nini?

Tukumbishe, tuna miaka mingapi tangu uhuru?
 
Kukosa kazi, maadili, ni pamoja na kukaa unaongelea vibaya uongozi wa hayati/ kiongozi aliyekwishafariki. Ili hali wewe inawezekana hata familia yako imekushinda, Takataka kabisa!
 
Tz barabara nyingi zinajengwa/zimejengwa chini ya kiwango

Ova
 
Namibia ina wakazi less than mil 2.6.
Miaka 25 iliyopita kutoka Mwanza mpaka Shinyanga ilikuwa siku nzima na kuna nyakati mnalala njiani.

Kutoka Dar mpaka Bukoba ililazimila mtu kupitia Kampala-Busia-Nairobi-Namanga-Arusha.

Kutoka Dar-Mwanza ililazimila kupitia Namanga-Arusha-Nairobi-Sirari-Tarime-Mwanza

Kutoka Mwanza-Singida ilochukua zaidi ya saa 14 (nimewahi kulala Singida mara 3 mwaka 2001) nikielekea Dar.

Kuna kazu kubwa imefanyika kuiunganisha Tanganyika kwa barabara.
Kama watu hawajaona kilochofanywa, basi huenda walikuwa chekechea wakati kazi zinafanyika.
Inawezekana kusiwa na kazi bora sana ukilinganisha na Namibia nchi yenye wakazi wachache kuliko baadhi ya mikoa ya Tz, ila itoshe kusema kuna kazi imefanyika.
 
Utetezi maandazi huu
 
Mleta post mwenyewe ni CCM sema sio timu Magufuli.

Tanzania kwasasa hakuna upinzani wa vyama kama zamani.

Kwasasa kuna upinzani baina ya HAPAKAZI TU, na KAZI IENDELEE.

Mtoa post anaonekana ni timu KAZI IENDELEE!!!!!
Figaniga alikuwa Team Jiwe
 
Kenya tumewaacha mbali sana.. ninamashaka na mtoa takwimu

Naomba kujua source ya hii taarifa..

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Barabara zetu za mchina zinajengwa chini ya kiwango sana kwa sababu ya 10%+
Barabara iliyojengwa kwa viwango ni Makambako-Songea.
Hii ilijengwa kwa msaada wa Malkia wa Uingereza na akatuma kampuni toka UK iliyojulikana kwa jina la Baffo&Bitt international.
 
09 October 2022

Barabara zetu na usafiri DR Congo

South Kivu mjini Bukavu, Kamanyola Port of Uvira, Ngomo Road kuelekea nchi za Afrika Mashariki na Kusini kama Tanzania, Burundi and Rwanda
Source : Perfect Afrika
 
Ni ujinga kutumia takwimu mfu...pita kwa wananchi waulize watakupa jibu sahihi...Anza na uswahilini mnyamala,tandale na mbagala
 
Wewe ni mbuzi tu Kenya hawatuzidi hata kidogo barabara za Nairobi zisikufanye kuwa Kenya wana barabara nzuri kuliko sisi.
 
Nyie ndo mna mimba ya magufuli Kwani Barabara zimeanza kujengwa enzi za magufuli?
 
Mleta mada ni mpumbavu unazungumzia ubora wa barabara kwa ujumla wa nchi ulizotaja, yet unasahau kuwa magufuli alidumu only five years shame on you dude.
 
Naona watu mna Mimba ya Magufuli.Mleta mada unahoja nzuri ulichokosea hapo ni kumuweka magufuli as if ndiye aliyewahi kuwa Rais pekee wa Tanzania.Imagine tena kakaa miaka mitano tu.sijui unamimba ya magufuli ya miezi mingapi
 
Hata sishangai kwa nyuzi za namna hii, watu wanatumwa na wanatumika. Lakini kumbukeni toilet paper inatumika mara moja tu ukishamaliza kuichambia hutupwa tena kwa kinyaa...
Nchi hii imekua na marais toka miaka ya 60, iweje asemwe rais aliyakaa only 5 years?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Nataka nifungue uzi kwa ajili yako mleta mada. Je. Wewe Mkuu tukupime katika lipi ili tujue Uwajibikaji wako.
 
Hiyo alisema akamaliza utekeleji ukawa 0 baada ya pale Kuna watu walipita kwenye hiyo Nafasi Shukuru kawambwa , na marehem Bazir, hao wote wamefanya kazi isipokua hawakuwa na uwezo wakuzitakaza kazi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…