Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Kwa Africa tulipofika saizi bora ukoloni kuliko haya yaliyopo na yanayoendelea saizi,watawala wa sasa ni wakatili kwa waafrika wenzao bora hata wazungu.

Kitabu cha THIS TIME TOMORROW Cha Ngugi wa Thiongi kinaishi
 
Labda Rais wa vikoba vyaama lishe hapo Ikwiriri
 
Niko Ulaya hizi gari hakuna hata moja.

Sisi watu weusi tunatia aibu sana. Ni washamba!
Umaskini wetu uko kichwani!

Mi Huwa nikitembelea viongozi home kwao Kila mmoja nakuta uani Kuna michuma ya V8 mitatu na madereva wake wawili , walinzi wawili (jeshi na ffu) na wapishi wawili, yaani kiongozi mmoja anaishi na waajiriwa 6 wanakula tu kodi za wajinga!
 
Uchangiaji wako umemlenga Magufuli kwa kiasi kikubwa, pathetic, the man has gone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…