Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.
P
Mkapa tumeendesha 80 series sanaMagari ya viongozi enzi za Nyerere yalikuwa Defenders. Hizi VX zimeanza na Mwinyi mwishoni au mwanzoni na Mkapa.
Prado.Punguza roho ya choyo, pendekeza rc ambaye huambatana na msafara wa rais,atembelee gari gani
Naona unaota,,hebu amka..Nikiwa Rais naondoa huu upuuzi wa magari..kila mtu ajinunulie gari lake au adandie daladala..
Mbona wafanyakazi wengine wanatumia gharama zao kufika maeneo yao ya kazi?.
Gari zitakuwa chache tu na zitakuwa hazina mwenyewe..ukitokea uhitaji wa kusafiri kikazi ndo utatumika tu and not otherwise.
Kuambatana na Rais haina maana uwe na hadhi sawa na Rais.Nimekuuliza mkuu wa mkoa ambae huambatana na msafara wa rais atembelee gari gani!?..we unaleta story za makamba
Wacha tu nisomeshe watoto wangu,siku moja anaweza akaukwaa u RC na mimi nikalionja hilo gari...Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Na wewe pambana ufike huko juu,ule mema ya nchi,Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Kama ni ndogo kwanini watoto bado wanakosa madarasa ya kusomea hadi wanapeana shift kuingia darasani?Mil 600 ni hala ndogo sana kwa Serikali, ni sawa na wewe unavyokula wali nyama home au unavyomiliki infinix.
Mhindi na mchina nao wanatupiga tu. Ila sisi Watanzani kuna kosa la kiuumbaji lilitokea siyo kwa kiwango hiki cha ujinga tulicho nacho. Lazima kuna namna siyo bureMuhindi na Mchina wako wapi?😀
Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.
P
Mimi ni mtu wa enzi za Mwalimu, kuwa na private car ilionekana ni ufahari na hata kuwa na TV ilikuwa inahesabika ni anasa!. Kumbe usafiri ni kitu muhimu sana for mobility na if you can afford to get the best, why not?. Escort ya Nyerere ilikuwa Peugeot 404, mawaziri wa Nyerere walitumia Peugeot 504!. Benz ya rais ilikuwa E Class 240, Tajiri Lord Rajpar akaleta nchini S Class 720, alikamatwa na kutiwa ndani kwa kosa la kumiliki gari la ufahari kuliko la Mkuu wa nchi.Unajuaga kutetea upuuzi.
Mkuu Patrick Girigo , mimi sio mchumi, kama serikali yetu ni tajiri na tuna fedha za kununua midege kwa cash, why not drive the best cars around?.Mtu wa kawaida kumwelewa Pascal Mayala sio rahisi ila wale ambao ni gifted wanampata sawa sawa kabisa. Kwenye elementary of economics kuna dhana 2 za muhimu sana, Rsource are always scarce but needs are unlimited halafu kuna opportunity Cost-the forgone choice. Sasa sijui kama Pascal alimaanisha kwamba kwamba sisi hizi kanuni tumeshazifikia au la
Yes kama tunazo, why not?.[emoji15]! Wasema kweli yakhee?
Aliomba au kapatiwa na Mamlaka ya uteuziWacha halafu unaambiwa kuna uhaba wa madarasa
Siku ukigombea nitonye. Sema sasa ukiingia madarakani waweza basilica mara moja. Ogopa sana!Nikiwa Rais naondoa huu upuuzi wa magari..kila mtu ajinunulie gari lake au adandie daladala..
Mbona wafanyakazi wengine wanatumia gharama zao kufika maeneo yao ya kazi?.
Gari zitakuwa chache tu na zitakuwa hazina mwenyewe..ukitokea uhitaji wa kusafiri kikazi ndo utatumika tu and not otherwise.
Kwamba hizo gari zinauweza mwendo wa msafara wa rais na pakawa na usalama!?..una uelewa wowote na magari!?..mkuu wa mkoa atembelee vitz akizuru mkoa wake,unafikiri sawasawa!!?Kuambatana na Rais haina maana uwe na hadhi sawa na Rais.
Wewe umeona hilo gari pekee ndo lenye hadhi ya mkuu wa mkoa?
Akitembelea Prado, Harrier ama Vitz hawezi kuwa na hadhi ya mkuu wa mkoa?