Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.
View attachment 2476045View attachment 2476044
Na wewe pambana ufike huko juu,ule mema ya nchi,
Binadamu kwa uhalisia wake,ni kiumbe mbinafsi,hata kama umezaliwa kwenye ufukara,sio kwamba hupendi mali,ukwasi,ukipata fulsa tu,ni kupiga.
Mtoto wa Raisi Biden,anachunguzwa kwa ma deals aliyofanya na serikali ya Ukraine,wakati Baba yake akiwa makamu wa Raisi,Kuna tetesi Biden alitumia nafasi yake kuzishinikiza baadhi ya nchi kufanya biashara na makampuni ya familia yake la sivyo USA itazinyima hizo nchi msaada wa kijeshi.
Nchi hii dawa ni kuingia mtaani kuandamana na kupindua serikali,
Unakuta waziri,anasema wananchi watakopeshwa simu janja!!yaani ameona shida kubwa ya wananchi ni simu janja,mama muuza vitumbua,mahindi,kijana wa boda boda,simu janja inamsaidia nini?