Rasilimali zipi? Tanzania Haina rasilimali za maana acheni kujidanganya.Very weak argument, nasema very weak kwa sababu Tanzania rasilimali zipo, wananchi wengi tunaleta janja janja kwenye elimu, na viongozi wao ndo wameshika mpini kabisa kutudidimiza.( Na bado tumewashikiliantu)
Scandinavian zimefanikiwa lakini mifumo yao maisha haipishani sana na west Europe individualism ndio imetawala katika maisha yao jambo ambalo kwetu halipo kabisa.Tatizo la hawa jamaa ni corrupt. Scandinavian countries is the best.
Ndio maana waafrika wengi wanapambana kulikimbia kabisa hili bara.Tuna changamoto nyingi sana ambazo inabidi tuzitatue ambazo zinatuathiri na kuonekana hatuja kamilika
Kiukweli kuwa Muafrika na kuukubali uafrika ni suala gumu sana kwa mtu anaye jitambua
Ni nchi gani isiyo na corruption ?hakuna mahali niliposema hakuna corruption hizo nchi ila nimezungumzia viwango.Hata kwao, hata Europe na USA Kuna corruption kubwa sana.
Pamoja ya kwamba wanaikimbia Afrika ila hawaikimbii asili yao upuuzi wao wanaubeba kutoka Afrika na kuupeleka huko ng'ambo. Nigerians mpaka kuingia Saudia wamezuiliwa kwa sababu ya upuuzi wao.Ndio maana waafrika wengi wanapambana kulikimbia kabisa hili bara.
West Africans na North Africans kila mara hujaribu kuvuka bahari ya mediterranean wakijaribu kuingia Ulaya. Licha ya wengi kufa maji, lakini hawa achi kujaribu bahati yao ya kuvuka bahari.
Vijana wengi wa Afrika, hupambana kwenda kusoma bachelor degrees, Masters na PhD kwenye vyuo vya Ulaya, America na Asia waki target kubakia huko huko kufanya kazi na kuishi, ila si kurudi Afrika.
Wachezaji wa mpira kutoka Afrika, wakifika ulaya hubadilisha kabisa uraia wao na kuomba uraia wa nchi za Ulaya. Mfano mzuri ni timu ya taifa ya Ufaransa.wachezaji wengi ni kutoka Afrika.
Mpaka hapa unaona kwamba kuwa Mwafrika na kuishi Afrika ni ngumu sana, kutokana na mifumo mibovu iliyopo.
Nili angalia habari ya hawa Wa Nigeria waliozamia meli kwenda kutafuta maisha ulaya, Waka okolewa na mapolisi wa BrazilTuna changamoto nyingi sana ambazo inabidi tuzitatue ambazo zinatuathiri na kuonekana hatuja kamilika
Kiukweli kuwa Muafrika na kuukubali uafrika ni suala gumu sana kwa mtu anaye jitambua
Ndiyo maana Mwafrika akifika ughaibuni anakutana na vigezo vingi sana vya kuthibitisha uaminifu wake,Pamoja ya kwamba wanaikimbia Afrika ila hawaikimbii asili yao upuuzi wao wanaubeba kutoka Afrika na kuupeleka huko ng'ambo. Nigerians mpaka kuingia Saudia wamezuiliwa kwa sababu ya upuuzi wao.
Kwako rasilimali za maana tofauti na dunia inazozijua ni zipi ?Rasilimali zipi? Tanzania Haina rasilimali za maana acheni kujidanganya.
UfisadiJamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.
Afrika jamani shida ni Nini?
True na hakuna Mwafrika anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzake huu ndio ukweli pambana kivyakoKama nchi kuendelea ni vigumu saana. Lamsingi ni kutafuta maendeleo yako binafsi na familia yako.
Afrika kuna changamoto nyingi sana ambazo sisi wenyewe waafrika kwa mikono yetu tumezitengeneza.Nili angalia habari ya hawa Wa Nigeria waliozamia meli kwenda kutafuta maisha ulaya, Waka okolewa na mapolisi wa Brazil
Nika gundua kwamba kweli watu wamechoshwa na hili bara la Afrika, to the point of being ready to die, wakitafuta njia ya kwenda ughaibuni.
Mmoja wapo wa wahamiaji hawa alipo hojiwa na wana habari Alisema kwamba, mapolisi walivyo mwambia kwamba wapo Brazil, alifurahi sana na kushukuru sana, Angalau amefika Brazil.
Walipewa chakula na maji, waka endelea na hatua za kuomba makazi.View attachment 2731615
Kwa kweli ujanja janja wa kijinga sisi ndio tunaona ndio maisha wakati ni upuuzi tuNdiyo maana Mwafrika akifika ughaibuni anakutana na vigezo vingi sana vya kuthibitisha uaminifu wake,
Pia kuna kuwa na sheria kali sana za ku monitor mienendo yetu, ili kudhibiti hizi janja janja zetu za kipuuzi.
Maana Worldwide wana tujua sisi tumejaa janja janja za kiwizi wizi.
Yes. Watu wenye maisha mazuri hawajawahi kuona kuwa afrika ni tatizo instead wanatumia umasikini wetu Kama fursaTrue na hakuna Mwafrika anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzake huu ndio ukweli pambana kivyako
Mafuta, gesi, viwanda.Kwako rasilimali za maana tofauti na dunia inazozijua ni zipi ?
Scandinavian na West Europe kuna individualism? Kwetu kuna collectivism? Kwenye mambo gani? Labda tumepishana kidogo. Mimi nasema sisi tuna ubinafsi, umimi. Ile mtu anataka apate yeye na hajali wengine. Kuhusu corruption: tatizo siyo sheria bali ni sheria zinamhusu nani na tunazitekelezeje! Kwa mfano Bongo viongozi na wenye fedha sheria za corruption haziwahusu. Hata ukiweka sheria kali ni kuwa wadogo tu ndiyo watauawa.Scandinavian zimefanikiwa lakini mifumo yao maisha haipishani sana na west Europe individualism ndio imetawala katika maisha yao jambo ambalo kwetu halipo kabisa.
Hao East Asians kidogo tuna shabihiana kwenye mfumo wa maisha hasa kwenye collectivism.
Maisha yetu tulipo hapa tuna hitaji kupelekwa kwa kasi, kwa lazima na kwa roho ngumu haswa jambo ambalo hao watu East Asia hivyo vitu wanaweza.
Corruption inabidi ikabiliwe na sheria kali Lee Kuan Yew alizungumza hili kuhusu Singapore yake akasema when you are in Singapore obey the laws hii ndio sheria ya kuwa salama Singapore.
Yes. Watu wenye maisha mazuri hawajawahi kuona kuwa afrika ni tatizo instead wanatumia umasikini wetu Kama fursaTrue na hakuna Mwafrika anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzake huu ndio ukweli pambana kivyako
Nothing more to add !!! That's a reality !!Majibu kimsingi ya swali kama hili yametolewa sana humu.
Wapo waliosema ni laana, wapo walio toa sababu mbalimbali za kitaalamu.
Kiukweli inaumiza sana na kuudhi ndiyo kama hivyo wengine wanachezea rasilimali za TAIFA kujali matumbo yao na kuumiza kundi kubwa.
Itoshe kwa kumalizia na ujumbe huu [emoji116]Nothing moreView attachment 2731228
Umasikini ni matokeo ya fikra zaidi na Sio mazingira.Yes. Watu wenye maisha mazuri hawajawahi kuona kuwa afrika ni tatizo instead wanatumia umasikini wetu Kama fursa
Hata wa zamani yaan wapigania Uhuru walipigania maslai Yao binafsi na Sio maslai ya waafrika wote thus hadi kesho hakuna familia ya mpigania uhuru inalia njaa wote ni walamba asali.Africa viongozi wa sasa hawana uwezo wa akili kuongoza. Ni wazee wanaopeana madaraka ili kula mema ya nchi. Africa haina dira ya kujikomboa yenyewe. Hao wanaoitwa viongozi wanaona sifa kila siku kurudi kwa mabeberu kuomba misaada hadi ya neti za mmbu.
Kuna hawa wa kwetu hapa utakuta mtu kamteua yeye tena kesho anasimama kulialia jukwaani kusema aliyemteua hafanyi kazi. Usanii na ujinga mwingi.