This is less than perfect..., Hii ndio inaitwa shitting where you are eating..., yaani we can do better.., Kwa technology tuliyonayo kama dunia hakuna sababu ya food wastage (chakula kilichopo kingeweza kulisha watu mara saba na kubaki)
Kwa Civilization na ufahamu tulionao hakuna sababu ya watu kupigana vita na kupoteza muda na nguvu kazi (pettiness) yaani ni kama watoto fighting for toys...
Dunia ni Moja inategemeana bila Mapafu ya Dunia (Misitu kule Amazon Brazil) Human Species watapata shida; lakini kila mtu anaboresha kwake na kuona kule hapafai kumbe hata ukichafua huku mwisho wa siku na kule kitafika...; We need to look at the Earth Globally na Maendeleo ni Journey sio Destination - Tunahitaji kuboresha continuously and it can always get better so in such a case in my humble opinion we as species we are not developed yet..., ingawa wengine wanapiga hatua za kurudi nyumba (i.e. Russia, Ukraine, Syria n.k.) lakini on average we are all developing - Na kutokuendelea kwa African countries kunasababishwa kwa kiasi kikubwa na hao so called Developed Countries kwa kuwa-Marginalize hawa so called Developing countries...
Bigger Fish eating Small Fish - Matsya Nyaya