Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

Kwanza sio kweli eti tulikuwa sawa. Nchi nyingi Asia ukienda kuna miji ina miaka mpaka 700 nyuma huko so wao walipata uhuru wakiwa level nyingine na sisi kabisa kuanzia mindset displin mpaka utayar wa kwenda level nyingine. Sisi ukipiga hesabu tu miaka Mia nne nyuma tulikuwa porini kabisa. Halafu tumepata Uhuru bila kwanza kuwa na tafsiri sahihi huo Uhuru nini. Ndio maana mpaka leo tunalaumiana.
Very true lakini, hizi nchi nyingi zilikuwa tayari na ancient civilizations
 
Sawa ni developing hata Brazil ni developing Ila huwezi fananisha Brazil na bongo...hata china na Russia ni developing Ila huoni tofauti na sisi...
Tofauti yangu na yako ni wewe kile unachokiona ni "Heaven on Earth" mimi nakwambia we can do better Kwahio hata maendeleo yetu yasiangalie Russia au Brazil (Russia pamoja na Utajiri wao wa resources kuna masikini wa kutupwa); Brazil kuna Slums na Machokoraa wa kutosha....

Hivyo basi the best modal ni kuwa zaidi ya wao, kuwa sustainable, sehemu ambayo middle income ni wengi na sio sehemu ambapo kuna matajiri wa kuhesabu wenye utajiri wa asilimia 99.99 wakati asilimia kubwa hawana kitu
 
Sawa hapo nimekuelewa ..so model yetu iwe nchi gani
 
Model yetu iwe best kuliko nchi yoyote...; Sababu hata ukiangalia USA pamoja na utajiri wao lakini kuna watu wengi wamepigika....

Nordic Countries, Mfano Norway kuna welfare ya kufa mtu ambayo mtu hata asipofanya kazi / anaumwa anapewa mshahara hadi 80% (hio inapelekea uvivu na kubweteka kwa wengi kula jasho la wachache); kwahio the best modal ni ile ambayo kuna uhakika wa watu kupata ujira kwa kufanya uzalishaji unaotakiwa; na kwa kufanya kwao uzalishaji huo wanapate ujira wa kuweza kuwawezesha kuishi sehemu husika.....

Ndio maana huwezi ukapima maendeleo kwa dollar amount kwamba mtu kijijini anaishi kwa Tshs elfu kumi kwa mwezi, wakati Dar mtu kwa siku anatumia elfu kumi kwa usafiri tu - Unasahau kwamba kijijini mtu usafiri kutoka point A mpaka B anatembea na hio elfu kumi ni ya kula bata sababu hata chakula anatoa shambani...
 
Sawa ..je factors za elimu ..pia. wahindi wametuzidi
 
Wahindi Asians wana technical know how ambayo inawafanya wawe marketable (computer science, data entry, software engineering) n.k. na sababu ni cheap labour usishangae mtu akapiga simu customer care USA anayejibu na kumuelewesha yupo Mumbai....

Lakini pia unapoongelea Elimu - Elimu ni nini ? Elimu ni ya wewe kukusaidia kupambana na mazingira yaliyokuzunguka kwahio Babu zetu wale waliokuwa wanachimba vyoo vya shimo; au wale wachina waliokuwa wanaweka vinyesi vyao kwenye mashamba yao; au wale waliokuwa wanajenga nyumba za udongo (Natural Air Condition) au Mitungi ya Maji ili upate maji yenye radha na temperature murua n.k. (Hizo ndio elimu zenyewe)
 
So jamaa umegoma kabisa kukubali India developed
 
Nani amekataa nimekwambia unipe premises.., ukisema developed ni hatua ya watu wengi kupata basic needs nitakataa sio developed - Ukisema ni mauzo mengi ya bidhaa na uzalishaji nitakwambia sawa - kwahio its up to you kuweka premises..., ila ideally kutokana na wealthy iliyopo duniani na capacity yetu as Human species sehemu zote ni developing hakuna sehemu ambayo ni developed kwangu mimi developed ni sustainable na katika sustainability lazima Social; Economical na Environmental Factors zote ziwe Covered.
 
Lakini si Kuna sehemu kumezidi kwengine...hamna kitu perfect ndio..
 
This is less than perfect..., Hii ndio inaitwa shitting where you are eating..., yaani we can do better.., Kwa technology tuliyonayo kama dunia hakuna sababu ya food wastage (chakula kilichopo kingeweza kulisha watu mara saba na kubaki)

Kwa Civilization na ufahamu tulionao hakuna sababu ya watu kupigana vita na kupoteza muda na nguvu kazi (pettiness) yaani ni kama watoto fighting for toys...

Dunia ni Moja inategemeana bila Mapafu ya Dunia (Misitu kule Amazon Brazil) Human Species watapata shida; lakini kila mtu anaboresha kwake na kuona kule hapafai kumbe hata ukichafua huku mwisho wa siku na kule kitafika...; We need to look at the Earth Globally na Maendeleo ni Journey sio Destination - Tunahitaji kuboresha continuously and it can always get better so in such a case in my humble opinion we as species we are not developed yet..., ingawa wengine wanapiga hatua za kurudi nyumba (i.e. Russia, Ukraine, Syria n.k.) lakini on average we are all developing - Na kutokuendelea kwa African countries kunasababishwa kwa kiasi kikubwa na hao so called Developed Countries kwa kuwa-Marginalize hawa so called Developing countries...

Bigger Fish eating Small Fish - Matsya Nyaya
 
Viongozi wa Kiafrika yaani Ngozi Nyeusi hadi hii leo.

Wanashindana katika mbio za nani atakuwa tajiri zaidi Afrika na dunia kwa ujumla.
Wote wana ndoto za kumfikia Aliko Dangote kwa Utajiri.
Ndoto hii huwafikia takribani baada ya siku 50 za kukalia Kiti cha Uongozi.

Hapo kitanadiwa kila kitu ambacho kipo kwenye uwezo wao ili kukamilisha hiyo Ndoto.

Anaye bisha a Google Mali na Utajiri wa Maraisi wa Afrika halafu atuwekee hapa na mchanganuo wa Mishahara yao. Mali nyingi wamezificha Abroad.

Hiyo ndiyo sababu kuu ya swali la Mtoa Mada.
 
kwa asili mwanadamu hapendi kushindwa na kuwa chini ya mwingine,.. hivyo wanachokifanya hao developed kwa developing countries ni jambo la kawaida sana kwa asili ya namna binadamu alivyo... UPUMBAVU ni kwa hao developing countries kuendelea kulia lia bila kuchukuwa hatu zinazoeleweka ili kujikwamua na umasikini wao, wamebaki tu kuwa wazembe,wavivu,wezi,watu wa kulialia tu na udumavu wao wa akili....
 
This is less than perfect..., Hii ndio inaitwa shitting where you are eating..., yaani we can do better.., Kwa technology tuliyonayo kama dunia hakuna sababu ya food wastage (chakula kilichopo kingeweza kulisha watu mara saba na kubaki)

Kwa Civilization na ufahamu tulionao hakuna sababu ya watu kupigana vita na kupoteza muda na nguvu kazi (pettiness) yaani ni kama watoto fighting for toys...

Dunia ni Moja inategemeana bila Mapafu ya Dunia (Misitu kule Amazon Brazil) Human Species watapata shida; lakini kila mtu anaboresha kwake na kuona kule hapafai kumbe hata ukichafua huku mwisho wa siku na kule kitafika...; We need to look at the Earth Globally na Maendeleo ni Journey sio Destination - Tunahitaji kuboresha continuously and it can always get better so in such a case in my humble opinion we as species we are not developed yet..., ingawa wengine wanapiga hatua za kurudi nyumba (i.e. Russia, Ukraine, Syria n.k.) lakini on average we are all developing - Na kutokuendelea kwa African countries kunasababishwa kwa kiasi kikubwa na hao so called Developed Countries kwa kuwa-Marginalize hawa so called Developing countries...

Bigger Fish eating Small Fish - Matsya Nyaya
Okay I get u, so Solution ni nini
 
Viongozi wa Kiafrika yaani Ngozi Nyeusi hadi hii leo.

Wanashindana katika mbio za nani atakuwa tajiri zaidi Afrika na dunia kwa ujumla.
Wote wana ndoto za kumfikia Aliko Dangote kwa Utajiri.
Ndoto hii huwafikia takribani baada ya siku 50 za kukalia Kiti cha Uongozi.

Hapo kitanadiwa kila kitu ambacho kipo kwenye uwezo wao ili kukamilisha hiyo Ndoto.

Anaye bisha a Google Mali na Utajiri wa Maraisi wa Afrika halafu atuwekee hapa na mchanganuo wa Mishahara yao. Mali nyingi wamezificha Abroad.

Hiyo ndiyo sababu kuu ya swali la Mtoa Mada.
Wao...Ila kweli, tatizo kubwa ni ufisadi.. kwanzia maofisa mpaka rais
 
Okay I get u, so Solution ni nini
UN walishatupa SDGs issue ni kuzi-implement efficiently and sustainably - Wala usitegemee wanasiasa wala viongozi waliopo juu wasio na njaa wakufanyie wewe mwenye njaa - approach inayotakiwa ni bottom up na sio top down...
 
Back
Top Bottom