Afrika tutapata maendeleo endapo tutawapa wazungu nafasi ya Urais na Mawaziri

BILA Shaka we NI mzungu.huwa cpendi kutukana,Acha upumbavu.nyie mmeshindwa kuongozana?Afrika tunahitaji watu wenye akili kichwani sio vichwa box.hatuitaji mzungu pumbavu nnyie.
 
BILA Shaka we NI mzungu.huwa cpendi kutukana,Acha upumbavu.nyie mmeshindwa kuongozana?Afrika tunahitaji watu wenye akili kichwani sio vichwa box.hatuitaji mzungu pumbavu nnyie.
Tokea uhuru,huyo mwenye akili yupo wap?wewe ndio wale wale..fact ni kwnba miafrika analaana..hamna kitu
 
Issue siyo watawala shida ipo Kwa watawaliwa (wananchi)...Hata aje Joe Biden na kabinet yake pamoja na crew nzima ya FBI kama watawaliwa ndio hawa (nyinyi) ni kazi bure
 
Maendeleo yanakuja kwa uwajibikaji. Kila mtu anatakiwa kuplay part.
Kwanini ww raia unapewa ofisi ya umma then unaanza kuhujumu na kujilimbikizia Mali?
Kwanini unajifikiria ww na ukoo wako tu?

Kwanini hatutaki kuwajibika kwa maslahi ya umma ili kuacha legacy?

Afrika itajengwa na waafrika wenyewe pindi tutakapoanza kuamka usingizini.
 
Kweli kabisa mkuu, hebu tazama upande wa huduma za kijamii kama vile Elimu,Afya,Umeme nk kuna ubinafsi lukuki yaani hizo huduma zimejaa ukilitimba mkubwa sana hasa hapo kwenye Elimu ni sheeda tupu kwakifupi hawataki watoto wa maskini wapate Elimu Bora ndiyo maana ukienda kwenye hayo mashule yao ya kata kuna uhaba Mkubwa wa vitendea kazi na walimu
 
Tatizo wananchi tumelala sana. Unajua hizo nchi za wazungu walipigana na kuuana kuwatoa wezi, wazembe,mafisadi, madarakani.

Sisi tunawachekea na kuwasifia.

France walimnyonga mfalme na familia yake na mabwanyenye wote. Wakaondoa ufalme. Ikawa Jamhuri ya watu. Tanzania bado tuna ufalme na mafisadi wachache wanatutawala. Tunachekacheka tu.
 
Hawa watawala waache kibuyu cha asali wampe mzungu uskani kwa maslahi mapana ya umma. Sahau.

Ukifuatilia hata kupata tu uraia pacha watanzania wenzetu waliopo nje hawataki. Simply kwa sababu ni threat kwa
utawala wao. Maana watakuja na mawazo mapya na fedha za kushinda uchaguzi wanazo. Umasikini wa watanzania na elimu duni ndio fahari ya watawala.
 
Katika vitu naumiaga ni kuona namna wazungu walivotuachia madhara ya ukoloni kiakili.....(inferiority).
 
Niliwahi kushauri hii kitu nikapuuzwa...
Ajiulize huyo prezdaa au mawa-ziro wake wamewahi kusimamia kazi yao ipi ikafanikiwa kimataifa?? Ata kitaifa? Leo unataka mtu asimamie madini wakati ata kufuga kuku hawezi!!!
Tutafute country administrators tubaki nabunge na vyeo vyajuu ila mawaziri na makatibu piga wote chini!!!
 
Tunatia huruma sana. Nenda Zimbabwe ndio utaona huruma kwamba mwafrika kujitawala bado sana.
Hili nchi ya Zimbabwe wameiaribu mpaka inakatisha tamaa. South Afrika ilikuwa kama Europe lakini huko tuendako sijui itakuaje. Rais mzima anaenda kuficha pess shambani. Waliachiwa SA ikiwa na ndege nzuri tu ukiambiwa sasa hivi imekufa huwezi kuamini. Miafrika shida sana. Utakuta mtu ni profesor lakini yuko kwa waganga kutafuta cheo. Shida kabisa.
 
Nakubaliana na mleta hoja, maana tabia ya wachawi ugomea hata mambo ambayo ni ya kweli na upongezana kwenye mambo ya kijinga. Inashangaza sana jinsi jamii hii ya wajinga inavyopongezana na kusifiana hata kwenye mambo yasio na msingi wao kazi yao ni kusifia na kupinga fikira mpya.
 
Mi naona hata wabunge wote na mawaziri wawe wazungu, miaka 60 ya uhuru hamna uelekeo yaani tunakwenda kusi ama kasi.
Maendeleo hayaletwi na wabunge au viongozi, huletwa na wananchi ambao huwadhibiti viongozi.
Changamoto ni wananchi kuwaogopa na kuwategemea.
Msingi wa maendeleo ni wananchi wavuja jasho. Raia wakiwa masikini lazima taifa liwe masikini.
 
Maendeleo hayaletwi na wabunge au viongozi, huletwa na wananchi ambao huwadhibiti viongozi.
Changamoto ni wananchi kuwaogopa na kuwategemea.
Msingi wa maendeleo ni wananchi wavuja jasho. Raia wakiwa masikini lazima taifa liwe masikini.
huwezi kuwadhibiti viongozi kwa kauli kauli mzee, viongozi wanadhibitiwa kwa Katiba na Sheria za nchi.
 
Yanaloga kishenzi huwezi kuyafanya kitu
 
huwezi kuwadhibiti viongozi kwa kauli kauli mzee, viongozi wanadhibitiwa kwa Katiba na Sheria za nchi.
Katiba na sheria bila wananchi (watu) wa kuzitetea na kuzisimamia ni sawa na hadithi tu zilizoandikwa kwenye makaratasi.
 
Suluhisho ni Elimu tu.

WATANZANIA WAKIPATA ELIMU BASI KILAKITU KITAENDA SAWA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mkuu maprofesa wenyewe waliotakiwa kuonesha maajabu ili wathibitishe unachoongea si ndo hawa wakina Kabudi na Lipumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…