Afrika tutapata maendeleo endapo tutawapa wazungu nafasi ya Urais na Mawaziri

Hapo vip!!

Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli.

Ukweli ni unadhihirishwa wazi na maendeleo ya Afrika tangu tuanze kupata uhuru..na kuna baadhi a nchi za wazungu walikuwa wapo chini kimaendeleo kuliko hizi nchi zetu za Afrika mfano sirilanka,maleysia n.k ila sasa waafrika wanaomba msaada kwao.

Ngozi nyeusi bado haiwezi kuleta maendeleo kwa haraka zaidi ya kukalia hizo nafasi kama kebichi tu.

Hapa utasikia wengine wakisema mara oo unajidharau kwenda huko..huo ndio ukweli. Mfano wa kweli, kuna muarabu mmoja alipewaga vichwa viwili vya scanya na muafrika ambaye alikuwa tajiri enzi hizo..yeye alikuwa na scanya kama 50.

Baada ya miaka 10 huyo muarabu akaja kuonana na huyu muafrika tajiri..akamuambia vip maendeleo ya biashara zako..muafrika akamuambia sasa hivi nina scanya 100, yule muarabu akasema pole kama kumuonea huruma hivi,mwarabu akamuambia sasa hivi yeye anascanya 500 magari madogo hawezi kuhesabu na anamakampuni kama 10.

Ila muarabu mwishowe akasema laiti Mungu angeonekana,waafrika nawashauri mumtafute mzee mwenye nywele nyeupe kichwani asiwe hata na nywele moja nyeusi,alafu ajiburuze kwa Mungu kwa kutumia makalio tena kwa unyenyekevu mkubwa akamuulize Mungu swali yakwamba Baba hivi sisi waafrika tumekukosea nini kwasababu sisi waafrika ni masikini sana na tunarasilimali za kutosha. NB hii ni story ya kweli.

Ndugu yangu,umasikini wanaoishi nao watanzani kwa asilimia 80 inachangiwa na aina viongozi na mifumo ya uongozi katika nchi. Hapa watakuja wakina kalume kenge watakuambia serikali haikuletee pesa wa kukuwekea mfukoni,au fanya kazi acha kulalamika haya ni hoja ya kisiasa ya kukwepa ualisi na ukweli.

Tanzania unaweza jituma kwenye biashara,kilimo,ufugaji,kusoma lakini mazingira sio rafiki kumsaport mtanzania anayejituma na kufanya kazi.

Mfano mdogo nibhu,Leo kijana wakitanzania anaweza kuanzisha biashara,akawa na plan kubwa katika biashara hiyo..kijana huyu akitaka mkopo wa millioni 5,10,20 na kundelea ataambiwa awe na nyumba,sasa huyu kijana katoka chuo juzi hiyo nyumba amejenga lini?

Huo ni mfano halisi..niishia hapo kwa kutoa huo mfano mrahisi.

Ila serikali bado haijawa sereous kuwasaidia watanzania kuondokana na umaskini..siasa ni nyingi sana kila mahali siasa na uchawi nadhani ni marafiki.
Kwani unavosikia wakoloni walitawala unafikir walikuwa wa Africa? Mbona hawakutuacha na maendeleo??
 
Sisi tumche Mungu tu, twende mbinguni, tukakae na Bwana milele. haya mengine ni mengineyo sana!

duniani hamna chochote cha maana! maana hakuna kinachodumu milele, hata dunia yenyewe imewekwa akiba kwa moto!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Ile miaka zaidi ya 400 yautumwa ilichukua vitu vingi sana kwa wajukuu wa hili bara la Africa na sasa wajukuu ndio tunapitia malipo ya muingiliano wa kipindi kile cha utumwa.

Wale machoko wangetuacha tuendelee na ratiba zetu tungeshakuwa imara hadi miaka hii tungekuwa tumeshapiga hatua nakuwa WAKANDA CONTINENT.

Ila tusikate tamaa raia wangu hii vita bado mbichi sana na tukituliza vichwa tutatoboa me ninawakubali sana young blood wenzangu wa kitanzania na kiafrika. Tutatoboa MUNGU anatutazama maana sisi hatuna hatia na hii dhuluma tunayofanyiwa wala hatujachangia kuileta.

Haya mazee yaliyopo serikalini dawa yao inachemka.
Very true.....makovu ya utumwa yanatutesa sana, bado hatujarudi kwenye factory reset na kuanza upya, in short hatujiamini, hatujitambui....e.t.c
 
Sisi tumche Mungu tu, twende mbinguni, tukakae na Bwana milele. haya mengine ni mengineyo sana!

duniani hamna chochote cha maana! maana hakuna kinachodumu, hata dunia yenyewe imewekwa akiba kwa moto!

JESUS IS LORD&SAVIOR
Ulokole una uraibu wa ajabu sana
Wakati mwingine hisia zinaendesha akili.
 
Amina. ila Mpango wa Mungu sio mwanadamu akae mbinguni mtumishi.
 
Ile miaka zaidi ya 400 yautumwa ilichukua vitu vingi sana kwa wajukuu wa hili bara la Africa na sasa wajukuu ndio tunapitia malipo ya muingiliano wa kipindi kile cha utumwa.

Wale machoko wangetuacha tuendelee na ratiba zetu tungeshakuwa imara hadi miaka hii tungekuwa tumeshapiga hatua nakuwa WAKANDA CONTINENT.

Ila tusikate tamaa raia wangu hii vita bado mbichi sana na tukituliza vichwa tutatoboa me ninawakubali sana young blood wenzangu wa kitanzania na kiafrika. Tutatoboa MUNGU anatutazama maana sisi hatuna hatia na hii dhuluma tunayofanyiwa wala hatujachangia kuileta.

Haya mazee yaliyopo serikalini dawa yao inachemka.

Aisee kaka theory yako ya kijinga sana( am sorry to say that).
Even after miaka yote hiyo bado tunamlaumu mtu mweupe kwa shida zetu wenyewe?
Sisi tumeshindwa nini mpaka sasa?
 
Mtu alie elimika ni ngumu sana kumtawala kiboya.

ELIMU BORA KWA WOTE NDIO SULUHU YA HILI TATIZO NA SI VINGINEVYO.

Yangu ni hayo tu!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue

No such as elimu bora kama hizi tabia zinaanzia ngazi ya familia.
Hatuna nidhamu na kujali muda.

Angalia culture ya mbongo ilivyo, wanapuuzia mambo muhimu most of time. Tunahitaji culture revolution kwanza
 
Hapo vip!!

Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli.

Ukweli ni unadhihirishwa wazi na maendeleo ya Afrika tangu tuanze kupata uhuru..na kuna baadhi a nchi za wazungu walikuwa wapo chini kimaendeleo kuliko hizi nchi zetu za Afrika mfano sirilanka,maleysia n.k ila sasa waafrika wanaomba msaada kwao.

Ngozi nyeusi bado haiwezi kuleta maendeleo kwa haraka zaidi ya kukalia hizo nafasi kama kebichi tu.

Hapa utasikia wengine wakisema mara oo unajidharau kwenda huko..huo ndio ukweli. Mfano wa kweli, kuna muarabu mmoja alipewaga vichwa viwili vya scanya na muafrika ambaye alikuwa tajiri enzi hizo..yeye alikuwa na scanya kama 50.

Baada ya miaka 10 huyo muarabu akaja kuonana na huyu muafrika tajiri..akamuambia vip maendeleo ya biashara zako..muafrika akamuambia sasa hivi nina scanya 100, yule muarabu akasema pole kama kumuonea huruma hivi,mwarabu akamuambia sasa hivi yeye anascanya 500 magari madogo hawezi kuhesabu na anamakampuni kama 10.

Ila muarabu mwishowe akasema laiti Mungu angeonekana,waafrika nawashauri mumtafute mzee mwenye nywele nyeupe kichwani asiwe hata na nywele moja nyeusi,alafu ajiburuze kwa Mungu kwa kutumia makalio tena kwa unyenyekevu mkubwa akamuulize Mungu swali yakwamba Baba hivi sisi waafrika tumekukosea nini kwasababu sisi waafrika ni masikini sana na tunarasilimali za kutosha. NB hii ni story ya kweli.

Ndugu yangu,umasikini wanaoishi nao watanzani kwa asilimia 80 inachangiwa na aina viongozi na mifumo ya uongozi katika nchi. Hapa watakuja wakina kalume kenge watakuambia serikali haikuletee pesa wa kukuwekea mfukoni,au fanya kazi acha kulalamika haya ni hoja ya kisiasa ya kukwepa ualisi na ukweli.

Tanzania unaweza jituma kwenye biashara,kilimo,ufugaji,kusoma lakini mazingira sio rafiki kumsaport mtanzania anayejituma na kufanya kazi.

Mfano mdogo nibhu,Leo kijana wakitanzania anaweza kuanzisha biashara,akawa na plan kubwa katika biashara hiyo..kijana huyu akitaka mkopo wa millioni 5,10,20 na kundelea ataambiwa awe na nyumba,sasa huyu kijana katoka chuo juzi hiyo nyumba amejenga lini?

Huo ni mfano halisi..niishia hapo kwa kutoa huo mfano mrahisi.

Ila serikali bado haijawa sereous kuwasaidia watanzania kuondokana na umaskini..siasa ni nyingi sana kila mahali siasa na uchawi nadhani ni marafiki.
Wape urais na uwaziri wa nyumbani kwako. Lazima Afrika ijengwe na Waafrika wenyewe, mbwabwajaji wewe.
 
By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex.

Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence.

C&P. P.W. Botha
 
Ulokole una uraibu wa ajabu sana
Wakati mwingine hisia zinaendesha akili.
mkuu, unajua inawezekana leo ikawa ndio siku yako ya mwisho kuwepo duniani!??

muwe mnazingatia haya mambo. sasa hivi tunavyoongea kuna mtu anaiacha dunia!
 
Amina. ila Mpango wa Mungu sio mwanadamu akae mbinguni mtumishi.
Baada ya anguko la mwanadamu, (kula tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya) makao yetu yalibadilika. Adamu akafukuzwa kutoka katika bustani, kifo kikatokea, kufa ni roho kuachana na mwili na kwenda sehemu nyingine. hii sehemu nyingine ndio ya milele.

duniani hatuna makao ya kudumu, wenyeji wetu uko mbinguni.

Yesu anaokoa
 
Wafilipi 3 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁰ Kwa maana sisi, wenyeji wetu uko mbinguni; kutoka huko tena tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo;
²¹ atakayeubadili mwili wetu wa unyonge, upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule ambao kwa huo aweza hata kuvitiisha vitu vyote viwe chini yake.
 
Kwani unavosikia wakoloni walitawala unafikir walikuwa wa Africa? Mbona hawakutuacha na maendeleo??
Kipindi hicho walitawala kwa maslahi yao,ndio maana wakaitwa wakoloni na waafrika wakaitwa watumwa..hapa naongelea namna ya.kufanya makubaliono na wazungu kama tunavyowaajiri na kuwatumia katika nyanja mbalimbali mfano,ujenzi wa barabara, makocha,madaktari n.k..kama ni wabaya kwanini kwenye nyanja mbalimbali tunaendelea kuwatumia..
 
mkuu, unajua inawezekana leo ikawa ndio siku yako ya mwisho kuwepo duniani!??

muwe mnazingatia haya mambo. sasa hivi tunavyoongea kuna mtu anaiacha dunia!
Mithali 9 : 6 - Enyi wajinga, acheni ujinga, mkaishi, Mkaende katika njia ya ufahamu.

1 Wakorintho 14 : 40 - Lakini mambo yote na yatendeke kwa uzuri na kwa utaratibu.

2 Wakorintho 6 : 3 - Tusiwe kwazo la namna yo yote katika jambo lo lote, ili utumishi wetu usilaumiwe;

Kwani ukianzisha uzi kuhusu mambo ya imani si itakuwa vizuri zaidi kuliko kuvamia uzi wa mambo ya siasa na kuanza kuingiza mambo ya kidini

Je? Watu wote hapa Jf wenye dini zao wakianza kufanya kama wewe si mijadala itakuwa vurugu

Je? Hauoni unamkwaza Mwanzisha huu uzi
Nasikitika kukuambia Yesu Kristo hawakilishwi na WAJINGA.
 
Hii naiunga mkono kwa 105% kwani hawa tulio nao zaidi ya ufisadi na utapeli tusitarajie miujiza kabisa!
 
Turudi kwenye utumwa sio!
Afrika tutapata maendeleo endapo tu tutakua wazalendo ile hali ya kutafuta mafanikio kwa ajili ya jamii yako sio kwa ajili yako na familia yako.
Pia kutumia elimu kijikomboa sio kuongeza machawa
 
Wafilipi 3 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁰ Kwa maana sisi, wenyeji wetu uko mbinguni; kutoka huko tena tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo;
²¹ atakayeubadili mwili wetu wa unyonge, upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule ambao kwa huo aweza hata kuvitiisha vitu vyote viwe chini yake.
hapo kwenye wenyeji ni uraia/citizenship,,IPO hivi hapo kuna kitu kinaitwa ufalme wa mbinguni

Tulipotawaliwa na waingereza kwamfano tulikuwa ni raia wa ufalme wa uingereza japokuwa tulikuwa mbali na uingereza kama koloni Lao.

Haina maana ya kwenda mbinguni kuishi Bali sisi ni raia wa mbinguni tukiwa duniani

Tunachotakiwa kufanya ni mapenzi ya mbinguni yaje duniani kupitia sisi,na sio sisi kwenda mbinguni..

Ufalme wa uingereza haukuhitaji mtu yeyote kutoka kwenye koloni aende uingereza Bali kila mtu kwenye makoloni awe kama muingereza.. aongee kiingereza,avae kiingereza,ale kiingereza,aabudu kiingereza n.k
 
Back
Top Bottom