hapo kwenye wenyeji ni uraia/citizenship,,IPO hivi hapo kuna kitu kinaitwa ufalme wa mbinguni
Tulipotawaliwa na waingereza kwamfano tulikuwa ni raia wa ufalme wa uingereza japokuwa tulikuwa mbali na uingereza kama koloni Lao.
Haina maana ya kwenda mbinguni kuishi Bali sisi ni raia wa mbinguni tukiwa duniani
Tunachotakiwa kufanya ni mapenzi ya mbinguni yaje duniani kupitia sisi,na sio sisi kwenda mbinguni..
Ufalme wa uingereza haukuhitaji mtu yeyote kutoka kwenye koloni aende uingereza Bali kila mtu kwenye makoloni awe kama muingereza.. aongee kiingereza,avae kiingereza,ale kiingereza,aabudu kiingereza n.k