Kiboko tu 🤣Sa itakuwaje
Unauliza majibuSa itakuwaje
Mekapu tu hizoDuuuh YangeYange ameoa VISU.
Alivyo kauzu sasa kama vile hatasaidiw kazi na Vijana WA hovyoYengayenga Hongera Umesimama Na Dini Ya Haki Inavyotaka
Naona Wake Zake Wanakula Chap Hapo Utakuta Wote Wanalala Kitanda Kimoja
Sheikh Aliyefungisha Ndoa Hiyo Aitwe Bungeni Chap Akapongezwe Haraka
Mchango Wake Ni Mkubwa
Majibu yako wapi nilouliza?Unauliza majibu
Huu ni wivu mkuuAnaona ufahari subiri bodaboda wamsaidie majukumu
Anauwezo WA kupeleka moto sawasawa?ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo.
Kwanza hapo ajenge nyumba kubwa moja TU,ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo.
Kwamba kapiga tatu bila (buyu)Atakuwa mwanayanga huyu