Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivu na husda...yange yange dini na imani yake inamruhusu kufanya hivyo, na yange yange sio mtu wa kwanza kufanya hivyo, mimi natamani kufanya hivyo sema tu sina huo uwezo wa kifedhamama D inashabikia huu upuuzi, halafu kesho unasimama kwenye jukwaa unadai equal gender opportunities and rights . Huu ni unyanyasaji na udhalilishaji wa kijinsia wa Hali ya juu. Hao wanawake wamekubali kwa sababu ya umaskini wa Mali na fikra. Unadhani wangetoka familia za kiislamu haswa na za kisomi na wazazi wanaojielewa wangekubali huu udhalilishaji..
Kila mwanamke anahitaji kua na mume mmoja tu.
Hela unazo. Huna nguvu pendwa ama unatawaliwa na mke wako.Acha wivu na husda...yange yange dini na imani yake inamruhusu kufanya hivyo, na yange yange sio mtu wa kwanza kufanya hivyo, mimi natamani kufanya hivyo sema tu sina huo uwezo wa kifedha
Hivi kumbe Dini inaruhusu kuoa kwa mkupuo?? Me nilijua inabidi iwe kwa awamu.Dini inamruhusu,safi sana
Ova
afaidi wapi wewe???...labda awaroge,,,lakini akiwaacha ivivi alaf wakaungana wakawa ki2 kimoja,,,jamaa atahamia mitaro y amnazi mmoja kama geto lake jipya!!!!!wewe mwangalie huyu mwanamke wa mwisho kabisa upande wakulia,,,mtazame kwa makini utagundua ki2!!!ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo.
Nakuambiajee mambo ni vururuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sa itakuwaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahKwanza hapo ajenge nyumba kubwa moja TU,
Chumba chake kiwe kipana sana chenye choo na bafu,Swimming pull,
Na kitanda achongeshe kikubwa zaidi na godoro la inchi 12 .
Kisha na TV smart na deki ,Aangalie style mbali mbali za kuwapelekea moto mkali.
Ikibidi na vumbi la mkongo lihusishwe[emoji1][emoji1][emoji1]
swadaqtaDini inaruhusu
acha wivu sasa..... baki na wako tu....duh aiseee
Ila kugawa dozi kwa wote ipo kazi..!Halafu wanafanana wote watatu
Amakweli MUNGU si ASUMANI
Ila kugawa dozi kwa wote ipo kazi..!
Sawa, kama unamuelewa vizuri Asumani.Asumani anayamudu
Kwake hiyo sio taabu