Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

Akifika miaka 40 huyo atachapiwa balaa, maana na mda wa kimoja chali saizi wacha amalizie ujana
 
ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo.

Anasumbuliwa na pepo la ngono tu huyo!!
 
ukikuta mabinti wanaoyaweza matusi, inakuwa raha sana, lazima uwahi kurudi nyumbani kila siku.
 
Unaoa wake 3 Alafu Huna uwezo wa kuwanyoosha sawa sawa kamoja chali hapo utakua umewaolea wanaume wengine wakusaidie kazi [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ni ulevi wa ngono tu..

Halafu mimi nikinunua kreti za bia zikiwa ndani jamii inanishangaa wakati mlevi ni mlevi tu.
 
Back
Top Bottom