Age-mates wangu waliojiingiza kwenye ndoa wamechoka, wanatia huruma. Mimi ambaye bado "napuyanga" naponda raha tu

Umemaliza mkuu
 
Unajikwatua sio kama Ni mwanaume basi tushakuelewa kinachokuweka mjini
 
Hapo mwisho umeongopa mkuu. " kila binadamu anapaswa kupitia" kwahiyo vipi kuhusu mpadre?? Ndoa sio lazima mwenye kutaka kuoa na aoe si dhambi na asietaka pia asioe si dhambi ni maamuzi tu
 
usipooa una olewa
 
Ujuaji mwingi = Kukosa maarifa.
Mbona hukujiamulia kuzaliwa ktk sayari hii?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kwa hiyo wewe bado lihunihuni tu?
 
Majina haya ya baba, Babu n.k hayanaga faida. Hata nikiyakosa hakuna shida.
Kuna mzee alikuwa anaishi kiwangwa,alipata ugonjwa ikabidi aletwe Kwa ndugu zake kuuliza kwani hana watoto wanaomjua wakasema alikataa watoto enzi za ujana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…