Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kabila gani?Hivi kwanini ukifa bila mtoto unatiwa gunzi huko bakta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabila gani?Hivi kwanini ukifa bila mtoto unatiwa gunzi huko bakta?
NAKAZIAMtu una uhakika wa kupata nyama na maziwa, ufuge ng'ombe wa nini?
Kataa ndoa.
KATAA NDO NI HUJUMA
Umemaliza mkuuNadhani ifike mahali waafrika tufungue akili kidogo.
Hivi ni LAZIMA kila mtu aoe/olewe?
Hivi ni LAZIMA kila mtu awe na watoto?
Kwani mtu hawezi kujiamulia mwenyewe aina ya maisha anayotaka kuishi, na sisi kama jamii tukaheshimu maamuzi hayo?
Nadhani matatizo mengi tunayoyaona leo kwenye ndoa yanatokana na watu kuhisi WANALAZIMIKA kuoa/olewa kwa sababu ya shinikizo kutoka kwa jamii.
Ni kweli ndoa ina umuhimu wake, lakini kama wanavyosema wazungu "Marriage is not for everybody".
Pengine kuna watu wangeishi maisha mazuri sana ya amani kama wasingekua kwenye ndoa, ila wanaishia kwenda kuteswa kwenye ndoa miaka nenda rudi, mwisho wengine wanauawa, wanapigwa, wanakufa kwa presha nk kisa jamii imeng'ang'ania kila mtu aolewe.
Najuta kwanini sikuoa mapemaJF siku hizi ni kusutana tu, nasubiri atokee mwingine aseme najuta kwanini sikuoa mapema.
Unajikwatua sio kama Ni mwanaume basi tushakuelewa kinachokuweka mjiniKwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Hapo mwisho umeongopa mkuu. " kila binadamu anapaswa kupitia" kwahiyo vipi kuhusu mpadre?? Ndoa sio lazima mwenye kutaka kuoa na aoe si dhambi na asietaka pia asioe si dhambi ni maamuzi tuUkiingia kwenye ndoa lazima ukutane na misukosuko,hii haikwepeki,lakini huwa ni ya muda tu na ukifanikiwa kuvumilia utafika mahali uatasahau machungu yote,sasa wewe endelea tu kula raha,utakapofikwa na kiu ya kuoa utakuwa tayari umeshachelewa sana.Ndoa ni sakramenti ambyo kila binadamu anapaswa kuipitia,usishindane na nature mkuu......
Hays mapenzi ya kushona nguo zinazofanana Huwa hayaishiagi pazuri
Mkuu mimi nikiona couple wamevaa nguo sare hasa za kushona(kitenge) najua kabisa mwanaume kakamatikaHays mapenzi ya kushona nguo zinazofanana Huwa hayaishiagi pazuri
Na mara nyingi mwanaume anakuwa kinonde
usipooa una olewaKwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Nasikia story za vijiweni sijui inahusiana na kabila gani.Kabila gani?
Ujuaji mwingi = Kukosa maarifa.Nadhani ifike mahali waafrika tufungue akili kidogo.
Hivi ni LAZIMA kila mtu aoe/olewe?
Hivi ni LAZIMA kila mtu awe na watoto?
Kwani mtu hawezi kujiamulia mwenyewe aina ya maisha anayotaka kuishi, na sisi kama jamii tukaheshimu maamuzi hayo?
Nadhani matatizo mengi tunayoyaona leo kwenye ndoa yanatokana na watu kuhisi WANALAZIMIKA kuoa/olewa kwa sababu ya shinikizo kutoka kwa jamii.
Ni kweli ndoa ina umuhimu wake, lakini kama wanavyosema wazungu "Marriage is not for everybody".
Pengine kuna watu wangeishi maisha mazuri sana ya amani kama wasingekua kwenye ndoa, ila wanaishia kwenda kuteswa kwenye ndoa miaka nenda rudi, mwisho wengine wanauawa, wanapigwa, wanakufa kwa presha nk kisa jamii imeng'ang'ania kila mtu aolewe.
Thibitisha sababu kuu 5 kuwa Shetani hayupo (20 marks).Shetani wala hayupo jamaa katumia utashi wake tu ,kupangilia maisha yake.
Luckyline njoo nikuwowe tufaidi mema ya dunia Mama.Chelewa kuzaa au kuolewa / kuoa kwa sababu nyingine ila sio kula raha. Noooooo!
Kwa hiyo wewe bado lihunihuni tu?Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Astaghifilullah!Naomba kuuliza kama Jicho lako liko salama kiongozi
Kuna mzee alikuwa anaishi kiwangwa,alipata ugonjwa ikabidi aletwe Kwa ndugu zake kuuliza kwani hana watoto wanaomjua wakasema alikataa watoto enzi za ujanaMajina haya ya baba, Babu n.k hayanaga faida. Hata nikiyakosa hakuna shida.