Age-mates wangu waliojiingiza kwenye ndoa wamechoka, wanatia huruma. Mimi ambaye bado "napuyanga" naponda raha tu

Nahisi jokate kamati ya uvccm kakutuma uje kumdisi alikiba
 
Japo siku hizi fedha imerahisisha access ya kupata K direct au indirect ila haindoi umuhimu wa ndoa.

Hamna kitu kibaya kama upweke.
Sasa upweke unakujaje waakati watoa k wako cheap na ni wengi?
 
Umeongea point sana mkuu.!
Hivi kwa Dunia ya leo mtu unaoa ili iweje?
 
Masijala mshafika 😹😹😹
 
😹😹😹
 
Kawa SHOGA now au ujaelewa THREAD yake
amepangiwa APARTMENT nzuri anajikwatua balaa anapiga pamba kali anatatuliwa tu Malinda
Hayo sio nayasema Mimi lah ! kaandika mwenyewe soma Tena kwa jicho la tatu thread yake utaelewa
😹😹😹😹
 
Kila mtu kivyake vyake, familia ni kitu kizuri lakini sio guarantee iwe hivyo, unaweza usioe na usiwe na watoto lakini maisha yakawa mazuri mpaka unakufa, na usizae watoto ukitegemea watakusaidia au kukuzika utakufa mpweke na hasira
 
Yana mwisho hayo, ngoja viungo vianze kuchoka na magonjwa ya uzeeni yaanze kugonga hodi, Mungu aliona mbali kumfanya Binadamu awe na Mwenza.
 


INASIKITISHA WALLAH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…