Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Kula ujana ni kawaida ila ndoa ni lazima kwa mwnanaume anayejitambua. Ila kama umefika 30s na unaandika haya basi wewe sio mzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi jokate kamati ya uvccm kakutuma uje kumdisi alikibaKwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Hata nikifa, uue ndiyo siku yangu ilifika.Kuna siku utabanwa na ngiri ukiwa kwenye hiyo apartment yako usiku ndio utajua hujui.
Sasa upweke unakujaje waakati watoa k wako cheap na ni wengi?Japo siku hizi fedha imerahisisha access ya kupata K direct au indirect ila haindoi umuhimu wa ndoa.
Hamna kitu kibaya kama upweke.
Umeongea point sana mkuu.!Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Nadhani wwanaooa wana shida kichwani.Umeongea point sana mkuu.!
Hivi kwa Dunia ya leo mtu unaoa ili iweje?
Masijala mshafika 😹😹😹upuuzi mtaacha lini
kenge blue
Natafuta mke wa kuoa "soon"
Ukitaka kuona maisha ni magumu, hayaendi mbele wala hayapangiki, basi fanya makosa ktk kumpata mwenza (mke/mume). Haya si maneno yangu bali wahenga waliyanena haya. Nakuja jamvini hapa kwa nia thabiti ya kumpata mwenza wangu. Kwa mdada yeyote mwenye sifa zifuatazo ani-PM. -awe kabila lolote...www.jamiiforums.com
😹😹😹 Jirani hii ☕️Hivi kwanini ukifa bila mtoto unatiwa gunzi huko bakta?
😹😹😹Kwa sasa mwanamke unamtolea MAHARI unamuoa, cha ajabu anakuja kwako kufuata MALI (kama si kukuua kbsa)
Then anaendelea kuponda akiwa kwake na mikuyenge aitakayo nakujiita SUPER WOMAN.
Kwa ufupi wanawake wamehamishia magenge maduka na uharamia kwenye NDOA.
😹😹😹😹Kawa SHOGA now au ujaelewa THREAD yake
amepangiwa APARTMENT nzuri anajikwatua balaa anapiga pamba kali anatatuliwa tu Malinda
Hayo sio nayasema Mimi lah ! kaandika mwenyewe soma Tena kwa jicho la tatu thread yake utaelewa
Yana mwisho hayo, ngoja viungo vianze kuchoka na magonjwa ya uzeeni yaanze kugonga hodi, Mungu aliona mbali kumfanya Binadamu awe na Mwenza.Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Hivi unajua nini maana ya neno mwandani? au unazania ni sehemu za siri?Sasa upweke unakujaje waakati watoa k wako cheap na ni wengi?
Hao wenza unaowaongelea ndiyo hawa hawa wanaowakimbia waume/wake zao wakiugua ama kuna wengine?Mungu aliona mbali kumfanya Binadamu awe na Mwenza.
Hao mwandani ndiyo hao wanaochomwa na magunia ya mkaa?Hivi unajua nini maana ya neno mwandani? au unazania ni sehemu za siri?
Wazazi wako wangekataa ndoa leo ungekuwepo kweli. Limbukeni achaMtu una uhakika wa kupata nyama na maziwa, ufuge ng'ombe wa nini?
Kataa ndoa.
Jiefu ukose bando lako tu😅Luckyline njoo nikuwowe tufaidi mema ya dunia Mama.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.