Age-mates wangu waliojiingiza kwenye ndoa wamechoka, wanatia huruma. Mimi ambaye bado "napuyanga" naponda raha tu

Naam
 
Reactions: G4N
Una stress wewee
 
Ponda raha ikifika wakati utapondwa na kuomba ufresh😁
 
Mtu anaenda vacation ndo kuponda raha.
 
Starehe zina mwisho utakuja wakati utaitaji faraja ya unao wapenda na hauto kua na hiyo bond wa kukujali itakua TOO LATE.

UKIWA HUWEZI KUJITAWAZA UTATAWAZWA NA MANESI AU NYANYA.

Kuna muda unakua na pesa mpaka huoni ule Nini 😇 uvae Nini uendeshe usafir gani.

MONEY, POWER, RESPECT 😁
 
Kwa akili hz na hapa ndo kwa magreater thinker Tanzania tutasubiri sn
 
Mwanaume unaogopa ndoa
 
Nenda kapige chaputa uhifadhi Mayai au mbegu muhimbili
 
Hakuna aliyewahi kufa kisa hajaoa ama kuolewa

Ila tunashuhudia wengi tu wanakufa kwa kuwa na wenzi wasio sahihi kwenye maisha yao

Ukipata nafasi ya kuwa single basi furahi katika namna ambayo utakuja kuimiss ukiingia kwenye ndoa

Enjoy your single life mate
 
Safi[emoji4][emoji4][emoji92]
 
Reactions: G4N
Swadaktaa! Umetisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…