Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kumbe nilichokiwaza ni kweli, ni yeyeee. Jirani😹😹😹 Jirani hii ☕️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nilichokiwaza ni kweli, ni yeyeee. Jirani😹😹😹 Jirani hii ☕️
😹😹😹 nichum basiKumbe nilichokiwaza ni kweli, ni yeyeee. Jirani
Haitatokea mtu kujutia hilo!JF siku hizi ni kusutana tu, nasubiri atokee mwingine aseme najuta kwanini sikuoa mapema.
Countrywide😹😹😹 nichum basi
Sio kama I support watu wasioe au wasizae, lakini kuoa au kupata watoto Kwa sababu ya kufikiria utapata usaidizi ukizeeka ni upuuzi wa hali ya juu, wazee wengi tumeona na watoto wao zaidi ya 10, lakini mwishoni wakizeeka na wakiugua wanaishia kupelekwa hospital na kuletewa chakula na majirani, huku watoto wao wakisubiri afe waje kuzika na kugawana mali kama anayo, wewe oa na zaa lakini usisahau kujiwekea pensheni yako itakayokutunza uzeeniYana mwisho hayo, ngoja viungo vianze kuchoka na magonjwa ya uzeeni yaanze kugonga hodi, Mungu aliona mbali kumfanya Binadamu awe na Mwenza.
kuoa mapema kuna raha yake kama pesa ipo. kama huna pesa wala usioe kabisa, kataa ndoaKwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
🥰🥰 hilo kiss limetoka ndani ya moyo mpk limenisisimua jirani.!!
😘 naja jirani yangu wa huba.🥰🥰 hilo kiss limetoka ndani ya moyo mpk limenisisimua jirani.!!
Pitia home jirani nimepika kuku wa kuoka.
Sisi ni majirani siwezi kukunyima. Mje na huyo Coca-Cola 😹 ili atushandue
Jirani yangu wa uchungu kabisa 🥰
Mimi hapa wa kufa na kuzikana😘Jirani yangu wa uchungu kabisa 🥰
Endelea kupuyanga finally uzeeni.Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
usijedanganyika mtu akaja kukuambia ndoa ni kitu kibaya. ndoa ni kitu kizuri mno mno, hasa ukimpata mnayeendana. mnakuwa mnapendana, mnapeana kwa uhuru na furaha, mnajaliana, mnakuwa na watoto pamoja, watoto wanawaita baba na mama, pesa unayopata unanunulia watoto vitu mbalimbali mnafurahi nao, mna umoja, mna furaha, mna amani, mnapika na kupakua anytime you wish tena bila kupigwa mizinga, ni kitu cha furaha mno.Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
umejieleza vizuri sana. Unahaki ya kuchanua na kupendeza.Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Nshakujaaa half cast koko akee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ushampataa sasa? Woiiiiih
😍😍😍Mimi hapa wa kufa na kuzikana😘
Kwahiyo unajidanganya kuwa huyo mkeo/mumeo ndiyo atakusaidia uzeeni? Ugonjwa wa figo unaujua? Kansa na kisukari je ? Vipi mwenzi wako akiwa na ugonjwa mmojawapo, utasaidiwa? Temea mate chini mkuu.Subiri uzeeni ukiwa single unaharisha na huna mke wala mtoto kukusaidia.
Uwe unashandua codes nisijejichanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ushampataa sasa? Woiiiiih