Aggrey TZ anapitia magumu sana na anajutia aliyoyafanya huko nyuma

Nilishasema wanaume mkiacha ungese wenu wa kuwanunua na kuwa entertain hiki kitu hakitakuwepo ila kwa sbb mna tamaa za kishenzi dunia inakua mbaya sana kwa ajili yenu...
Yani mnakua kama matahira...unatoka kabisa unaenda eti kwa jitu kama hilo unaacha mkeo nyumbani au gf wako...
Pumbavu zenu...
 
Tuwekee picha yake tumuone siye tusiyemjuwa.
 
Aisee
 
Kumbe lilikuwa ni choko la Kisabato? Aiseee, shetani ana nguvu sana. Halafu unaweza ukakuta jamaa ni Mkurya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…