Aghairi kufunga ndoa iliyogharimu Tsh. 950m baada ya Mchumba wake kukataa kusaini PreNup

Mimi ni mwanamke ila sitaki mambo ya kujumlishana kwenye mali. Kila mtu akae na mali zake. Ikitokea kuachana kila mtu atabaki na chake, mtoto/watoto tutachangia kuwalea. Nilienda sababu ya mapenzi, mali kila mtu yake.
 
Gugo translator imeharibu uzi
 
Mke wa Hakimi vile hakusign prenup alijua kashinda, kumbe mali zote ni za mama.Kama kweli unampenda mwanaume kwa nini usisign prenup?Kwanza ukimzalia watoto ,watoto watakuwa warithi wake.
[emoji3447]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…