Agizo: Wasafiri watakaoingia nchini watakaa karantini siku 14 kwa gharama zao

Kama ungekuwa Una tumia AKILI yako vizuri.
Ungejiuliza kwanini Tanzania HATUVAI Barakoa wala kutumia sanitizer na Corona HAIPO.ungekuwa umefanya Jambo la maana sanaaa..
 
HOFU imeanza kutengenezwa kwa makusudi maalumu.

Nawacheki tu nasema hiiiiiii...

Bhaghoshaa!
 
Ni hatua nzuri. Hata hivyo, hao wa kitanzania nani ana uhakika watajitenga huko majumbani kwao.
Hapo kwa Watanzania kachemka! Watanzania ni Careless by nature! Wataenda kuua watoto na mama zao au baba zao!

Wao nao wangetengewa eneo wakae kwanza kwa thorough checkups!
 
Kama chanjo ingesadia watu kutopata Corona basi wagonjwa wangepungua.

Hujasikia kuwa UK na Israel ugonjwa umepungua kwa sababu ya chanjo?

 
Hakuna corona yoyote ni ujinga mtupu huu!

Kwa kweli Magufuli ni chuma cha pua!

Haya maswahili swahili yaliyopo sasa ni pazia tu!
Tumeishi mwaka mzima bila hizo restrictions, ila leo ndio wanasema wahindi watakimbilia huku kukwepa ugonjwa kwao, sasa iweje wakimbile huku ambako hatukuwa tukichukua tahadhari? Si walitakiwa watuogope kwamba tuna corona? Magufuli alikuwa na maono ya kinabii
 
Kwa hyo hizo chanjo zinafanya KAZI UK na Israel tu
 
Mkuu, hapa tumepigwa!
 
Na Tanzania Corona imeisha sababu ya nini? Kifo cha mwendazake? 😂😂 utaahira mwingine huu, acheni tu
 
Wakimbilie kwenye nchi ambayo tuliambiwa tutatengwa kwasababu corona imesambaa na hatuchukui tahadhari!
 
We jamaa jinga sana!
 
korona iliyopo india ni balaaa inapukutisha hatari
wangepiga ban ndege za kutoka India na Brazil na wasafiri waliotoka India na Brazil wangeanza na Atcl inatoenda India simamisha kwanza kwa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…