TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Duh kweli hapo lazima tupate somo Mungu yupo, tusiwe na viburi kwa vitu vionekanavyo
 
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... [emoji1019] Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Mzee vipi??unajuaje aliwahi kuwatanguliza??au ulikuwa mdau mzee mshana??
 
Yaani mshana sijui amekuaje kawa na akili kama za bashite
 
R.I.P Mwenyenzi Mungu ampokee mja wake na awafariji wafiwa wote
 
Huyu ‘naskia’ ametoka familia ya dini sana..hope wamemtubisha kabla ya mwili kuachana na roho
 
Mkuu umeongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…