La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,049
- 1,160
Mtoto anaye wa kike 8 yearsNa msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto anaye wa kike 8 yearsNa msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Acha iwepo bana.
There are some very evil people under the sun.
Mzee vipi??unajuaje aliwahi kuwatanguliza??au ulikuwa mdau mzee mshana??Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... [emoji1019] Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Hakuna binadamu mwenye haki ya kumnyooshea mwingne kidole, nani kakupa haki ya kuhukumu? Je wewe ni msafi.Sikuungi mkono kwa hili.
Yaani mshana sijui amekuaje kawa na akili kama za bashitehalafu "" mimi "nimemshangaa "kweli yaani ""
wajua ""umri wako "ukisogea "kidogo"" una paswa kuonyesha "tofauti yko "kifikira/ mitazamo baina ya mtu mzima na kijana""
kwakweli ile ""comment haikuapaswa"" kutolewa na ""mtu wa Kariba lake "" achilia mbali uwezo wake ""mkubwa wa "kufikiri ambao" huwa tunajuwa kuwa anao""
Kifo kimetokana na nini?Kafa na kifo
Ndo mwenywe ujakoseaIvi Masogange huyu aliefariki ndiyo yule wa Belle 9 !!
Hahaaa!pole sana humjui Masogange kaah!
Taifodi na upungufu wa damuKifo kimetokana na nini?
Dah..ndo hivyo. Msambwanda ungehamia kwangu tu..maana unaenda kuoza ardhini. Sad!Na msambwanda wake ule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii, nimeanza nini sasa?Umeanza
Mkuu umeongea.kwann unahisi huu msiba umewagusa wanaume?
wewe hujaumia kuona mwanamke mwenzako aliyeacha mtoto mdogo amekwenda?
wewe haijakuumiza kuona kijana mdogo wa miaka 29 akipoteza uhai wake just like that huku ndoto zake zikizima kama mshumaa?
Me naona ifike mahali tuwe na staha katika maandishi yetu sababu sotw ni binaadam na sote ni njia moja, pia tujue kua kifo ni mawaidha kwa wanaobaki,
Agness amefariki hospital kwa Typhod na Anemia hujui wewe utakufaje na wapi, utapondwa na roli uwe kama chapati watu wakuogope hata kukushika, utaungua na moto hata kuoshwa iwe shida uvishwe plastic, utakufa baharini uwe chakula cha samaki watu wasione maiti yako,
utakufa kwa kipindu pindu ndugu washindwe kukuzika uzikwe na city huku wamevaa mask na gloves.
Yote hayo mjitafakari kabla msiba wa mwenzenu hamjaugeuza kua wa kimajungu na fitna.
Message hii iende kwa wote waliodiss kuanzia comment za mwanzo mpk wanaoendelea kudiss.
Am out.
Okeee...apokelewe mahali pema kama anastahili!Taifodi na upungufu wa damu
Machozi ya steve nyerere ni mengi eee maana hata kwenye kesi ya kina wema aliliaInna lillahi wa inna ilayhi rajiunView attachment 751174