Mzee una uhakika!Huyo kafa sababu ya heroine hio zingine kupambisha tu tokea ashitakiwe kesi ya madawa amekuwa na hali mbaya ..manji bahati yake alikuwa anakesha agakhan hospital
Kuacha heroine kusikiliza kesi yake ,huwezi kuacha heroine afya yako ikawa nzuri
Cc..ray cHuyu tokea ile ishu ya makonda amekuwa akiumwa Sana tokea mwaka Jana amekuwa akiumwa ,akilazwa
Heroine mbaya sana kuacha vigumu. .pole yake na fundisho ,na ndicho kimemuua
Ice.....Hahahaa! Bora na wewe umemjua kua jamaa ni hodari sana wa kuchukua habari google kisha kuzitafsiri na kuzileta humu huku akijifanya ni zake!!
Yesu Kristo hakufa Bali aliyatoa maisha yake kwa ajili ya dhambi na maovu ya mwanadamu.Kuthibitisha hilo alifufuka siku ya 3 akapaa mbinguni.Ibrahim alikuwa mtumishi wa Mungu,akafa akiwa na miaka 175,Isaka alimtumikia Mungu akafa akiwa na miaka 180,Yakobo/Israel alimtumikia Mungu akafa akiwa na miaka 147.Juzijuzi hapa tumemzika Bill Graham ,mtumishi wa Mungu akiwa na miaka 99.Yatoe maisha yako kwa Mungu,umtumikie ili siku zako ziongezeke!Bwana Yesu alikufa na miaka mingapi?
Unaandika maneno mengi lakini elewa ,Prematured death is curse/kifo cha mapema ni laana.Mungu amekuweka hapa duniani umtumikie .Usipomtumikia mahali ulipo utakufa mapema.Longevity/maisha ya marefu ni baraka za Mungu.Hiyo ni Kibiblia kabisa!Mkuu swali la msingi tunamtumikia bwana au shetani?Kizazi cha siku hizi waigizaji tu,wanadhani Mungu ni babu yao.Walo kufa washakufa who is next?Me and you.lakini lipo tumaini ukimpokea Yesu leo,Mungu naye anajua fanya mbwembwe zako zote ila wanadamu wote wana one point of intersection it is called "death" hapo wote tunakutana.Usicheze na Mungu,haangalii sura ila ukimtumikia huwa anakupa taarifa kabisa kabla hajakuchukua.
[emoji122][emoji122][emoji122]Mungu atusamehe wote wenye pumzi tunaojifanya ni watakatifu na kuhukumu vile tunavyopenda..
Agness hakuwa malaika, kama sisi tuu kila mtu ana makosa yake, nashangaa wengi mnajifanya humu kama ni wasafi mno na kumsema marehemu kwa mabaya, Mungu atusamehe sana maana najua sote tuna mapungufu makubwa tuu ila tuna jeuri maana bado tuna pumzi ya bure bure aliyotupa Muumba aliyemuumba na agness..
Tukumbuke pia agness ana ndugu, ni dada,mdogo,shangazi n.k , tusiwaumize wenzetu katika kipindi hiki kigumu, licha ya umaarufu wa agness tutambue ana haki zake ikiwemo ya kuheshimu faragha yake.Tujaribu kuheshimu maana njia hiyo ni yetu sote na haikwepeki, zaidi tuombe tubadilike matendo pamoja na kuiombea familia yake katika nyakati hizi ngumu... ni hayo tuu wakuu Please dont judge her...
Mara pumu Mara anaemia ...utata!!!Nimeona clip steve nyerere anatamka kuwa agness ameumwa pumu kwa siku nne na ndio ugonjwa ulio muua
Matackroo yakoMatoleo ya kafara za kuhamisha mawazo ya watu kuelekea 26/4
Naona kiki za wiki iliyopita hazijatosha na pia ajali za mabasi mfululuzo ikiwemo basi kuungua juzi likiwa na abiiria Ndani bado haitoshi
Kuelekea wiki ijayo ma super star kuweni Makini mtatolewa Sana sadaka kama hii ya Masogange haitatosha kusababisha social media zisahau 1.5 t na 26 April
Paulo kamtoa demu wake kafara
Mungu amrehemu Binti wa watu
Usijitie upofu tu kwamba Masogange alikuwa ni muuwaji na hujui ameuwa vijana wangapi indirect kwa kuwasambazia unga.Mungu atusamehe wote wenye pumzi tunaojifanya ni watakatifu na kuhukumu vile tunavyopenda..
Agness hakuwa malaika, kama sisi tuu kila mtu ana makosa yake, nashangaa wengi mnajifanya humu kama ni wasafi mno na kumsema marehemu kwa mabaya, Mungu atusamehe sana maana najua sote tuna mapungufu makubwa tuu ila tuna jeuri maana bado tuna pumzi ya bure bure aliyotupa Muumba aliyemuumba na agness..
Tukumbuke pia agness ana ndugu, ni dada,mdogo,shangazi n.k , tusiwaumize wenzetu katika kipindi hiki kigumu, licha ya umaarufu wa agness tutambue ana haki zake ikiwemo ya kuheshimu faragha yake.Tujaribu kuheshimu maana njia hiyo ni yetu sote na haikwepeki, zaidi tuombe tubadilike matendo pamoja na kuiombea familia yake katika nyakati hizi ngumu... ni hayo tuu wakuu Please dont judge her...
Kwa Mara ya kwanza wanaume wengi tumekuwa inspired kufanya kazi mochwari
Hivi huwa hamlalii??[emoji122][emoji122][emoji122]
Utasikia Alikuwa ni dada,shangazi,mama,mamdogo n'a bla bla nyiiingi. Kwamba asisemwe Kisa tutaumiza ndugu. Ndugu ambao walifaidika n'a biashara haramu y'a ndugu yao wakakaa kimya.Usijitie upofu tu kwamba Masogange alikuwa ni muuwaji na hujui ameuwa vijana wangapi indirect kwa kuwasambazia unga.
Usikurupuke tu na mihemko yako.
Don c pole kwa msibaDaaah, R.I.P aisee, namkumbuka sana back in days before the fameView attachment 751198