TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Utasikia Alikuwa ni dada,shangazi,mama,mamdogo n'a bla bla nyiiingi. Kwamba asisemwe Kisa tutaumiza ndugu. Ndugu ambao walifaidika n'a biashara haramu y'a ndugu yao wakakaa kimya.
pombe na unga kipi hatari na kinaleta vifo vingi????,alcohol ni drugs kama unga ila serikali inapata kodi..deadly poison on earth..
 
Imani ni very personal business na ndo maana inapendeza ikitumika mahali husika.
 
Mtoto alikua analalamika mama ake hamhudumii na hamjali anaishi Kigogo na shangazi yake
Huenda mtoto alikuwa akitaka matumizi makubwa lakini mama kwa kutotaka kumzoesha hela akiwa mdogo yeye akawa anatoa kulingana na umri wa mtoto ili asizoe starehe udogoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…