TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Utasikia Alikuwa ni dada,shangazi,mama,mamdogo n'a bla bla nyiiingi. Kwamba asisemwe Kisa tutaumiza ndugu. Ndugu ambao walifaidika n'a biashara haramu y'a ndugu yao wakakaa kimya.
pombe na unga kipi hatari na kinaleta vifo vingi????,alcohol ni drugs kama unga ila serikali inapata kodi..deadly poison on earth..
 
Sijui ni Mungu yupi unamzungumzia, ndo maana tumetofautiana ktk imani juu ya huyo Mungu. Waamini Yesu hakufufuka ila mimi naamini ALIFUFUKA.

Mtakie pumziko jema na mungu wako amerehemu ila Mungu aliyeumba mbingu na nchi rehema zake ni mtu anapokuwa hai tu na sio baada ya kufa, ondoleo la dhambi lipo kwa ajili ya wanadamu walio hai na si kwa ajili ya wafu.
Imani ni very personal business na ndo maana inapendeza ikitumika mahali husika.
 
Mtoto alikua analalamika mama ake hamhudumii na hamjali anaishi Kigogo na shangazi yake
Huenda mtoto alikuwa akitaka matumizi makubwa lakini mama kwa kutotaka kumzoesha hela akiwa mdogo yeye akawa anatoa kulingana na umri wa mtoto ili asizoe starehe udogoni
 
Back
Top Bottom