TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Sasa tulikuwa tunaringia Agness kumtikisa Vera sidika jamaniii [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
RIP dada..

Washua walipiga kavu watakua na mawazo sana now!I can see the hysteria!

Hahahaaaa true.

Subiri siku atayokufa Uncle Juju....labda afe kwa ajali au kuuliwa.

Ila akifa kwa ugonjwa watu watatafutana.....just playing!
 
Mungu awape faraja ndugu, jamaa na Marafiki wote wa Agness Masogange.

Kifo kinapotokea kinakuwa ni funzo kwetu ili kujiandaa kabla ya kufa.

Swali fikirishi huwa ni : Ukifa utaenda wapi?
 
Nipo makini na wa dunguaji, [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Faili limefungwa nasikia

Ngoja tuomboleze

Poleni ndugu jamaa na marafiki bila kusahau wale wote wapenda wowowo
 
Mshana homa ya matumbo ndio nini?
Na msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... ⚰ Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
 
Tulio hai tusijisahau wakuu..duniani tu wapitaji tu ila kuna watu hili haliwaingii akilini! R.I.P Agnnes G.M
 
Mkuu natamani kujua maana ya hiki ulichoandika. Safari iliishia mahala fulani?

Niliwahi kukutana naye airport JNIA nikielekea Mwanza naye akielekea Mwanza. Tulipanda ndege moja na tuli chit chat kidogo wakati tukisubiri kupanda ndege!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…