TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Sina muda wa kumwangalia huyo niko busy namwangali Yesu,mkuu kama uzuri wa sura unakusumbua utapata shida sana bora uhame dar,kwani wazuri ni wengi na siku hizi mabinti wanajua kujipamba sasa itakula kwako.Si kila kitu kinafaa vingine kimbia.Unamwitaji Yesu mkuu,katika shule yangu kielelezo cha kuwa mtu ni mwanaume si kuvutiwa na wanawake wazuri ni zaidi ya hayo.Wewe usijidhalilishe trust me watu watakutapeli kwa kukuletea wanawake wazuri,mwenyewe umekiri udhaifu wako.
Kifo ni kifo,haijarishi umekufaje au umeagwa na watu wangapi,unachotakiwa kujua kabla yako walikuwepo watu ,unadhani waliokufa Syria walikuwa wanawake wenye sura mbaya,kifo hakiangalii sura ,kwa wale waliosoma kitabu cha "Song of Lawino and Okolo kifo kiliitwa "the last safari t pagaki,the place of no return".Unahitaji mke wa kuoa kuna vitu vingi huangaliwa na si mihemko hiyo,nenda kwa mchungaji Peter Mitimingi atakuelimisha,unahitaji uponyaji kwa nini uwe na mifadhaiko?
 
Heee!! Masogange Vipi umefufuka nini!???,Hatuwezi heshimu maiti ya namna hiyo yeye kauwa wangapi kwa madawa ya kulevya angekuwa anajiheshimu angekuwa anapiga picha za uchi hizo picha alitupa za ukumbusho na ndo tunamkumbuka
 
Heee!! Masogange Vipi umefufuka nini!???,Hatuwezi heshimu maiti ya namna hiyo yeye kauwa wangapi kwa madawa ya kulevya angekuwa anajiheshimu angekuwa anapiga picha za uchi hizo picha alitupa za ukumbusho na ndo tunamkumbuka
unacho kifanya wewe kumkumbuka Masogange kwa njia hiyo unakuwa huna tofauti sana na huyo Masogange mwenyewe maana unaenda tofauti na maandiko ya dini zetu maana tunajuwa kila mtu ana mambo yake mengi ya siri ambayo ni machafu kuliko hayo ya Masogange ya Masogange umeyajuwa kwa kuwa yeye ni mtu maarufu na kila mja anafanya mazambi lakini sisi sio wahukumu ila anayehukumu ni Mwenyezi Mungu peke yake na nikuibie siri tu unaweza kusema Masogange kafanya mabaya oooohh hakumpendeza Mungu lakini huwezi juwa kabla hajafa labda alifanya toba kwa kutubia yale yote aliyoyafanya ya kumuudhi Mungu.
Tusipende sana kuhukimiana wenyewe kwa wenyewe
 
uyo mitimingi ndie saiz yake.
 
watu kama nyinyi ni wanafiki sana hapa unayahadithia mazambi ya mwenzio kwa kuwa upo nyuma ya keyboard lakini unaweza kuta wewe unafanya mazambi makubwa kuliko huyo Marehemu
 
Wagalatia 6:7~8
Hujasoma Biblia yote? kuna vitabu agani jipya (injili) vinazuia kuhukumu wenzetu na hili ndo tatizo kubwa la Biblia ina discrepancy nyingi sana. So unaweza kuitumia na kuitafsiri kadri uwezavyo kwa interest zako.
Kwa watumishi wake ikimpendeza hufanya hivyo si kwa wote,vipi hauamini kama kuna watu Mungu huwataarifu ili watengeneze mambo yao?
Asante mkuu.
 

Wewe wakili wa wanaohusishwa kuufanya msiba kiki
Hao Bongo movie ambao walikua wa kwanza kufika kwa mama ngoma na gari ya kifahari walikua wapi hizo siku nne nzima kupost ugonjwa wake wakati wengine wakiugua wanapost
Ingesaidia hata Ushauri wa kuokoa maisha yake lakini siku nne nzima hata kujisogeza wampeleke hosp kubwa wameshindwa ila alipkata roho tu hapo hapo wakajua
Mambo mengine wanafanya wenyewe kufanya wahisiwe vibaya
Wanakimbiza msiba Leaders kama vile hana kwake au Ndugu Bora Ndugu zake leo wamepeleka msiba Nyumbani kwake
Maaana watu wanataka fanya kiki msiba Sasa kwanini wasifikiriwe vibaya
 

Hata wema ilikua naye atolewe wakaishiaal kwa huyu Kwa Sasa Kwa mantiki hiyo
Bongo movie wanafanywa misukule
 
Heee!! Masogange Vipi umefufuka nini!???,Hatuwezi heshimu maiti ya namna hiyo yeye kauwa wangapi kwa madawa ya kulevya angekuwa anajiheshimu angekuwa anapiga picha za uchi hizo picha alitupa za ukumbusho na ndo tunamkumbuka
Sema wewe huwezi heshimu maiti yake si wote? amewahi kushtakiwa kwa kesi yoyote ya mauaji?unajua maana ya uchi kwa tafsiri sahihi ya kiswahili na hata kwa mila za kitanzania tu. We unaacha kupambana na serikali inayoua watu wake kila siku kwa kutowapa huduma bora za afya, maji n.k huku wakipeleka pesa kwenye maeneo yasio ya kipaumbele, uanze kukashifu marehemu!!!!Tatizo watu wamezidi unafiki na huku ubinadamu ukipungua. Toa boliti jichoni kwako kwanza
 
asante mkuu
 
Wanaopaswa kupewa hiyo taarifa ni ndugu zake au vyombo vya dola kama itatakiwa, sasa atoe majibu kwa wengine kwa sababu gani mkuu.
Mkuu kuna utata kuhusu kifo cha masogang.NA huyu dada alikuwa ni msanii nyota.Ni vema ukweli uwekwe hadharani.
 

Kwa hiyo YESU alijinyonga
 
Nyumbani kwa Baba yake Mzazi Agness Gerald 'Masogange' Mbeya Mbalizi kata ya Utengule Usongwe ambapo mazishi yatafanyika tayari Wametenga Msiba. - Baba Mzazi anaitwa Gerald Waya ambapo amesema nyumba amejengewa na Mtoto wake Agness
 
Mi uhakika nautoa wapi, wakati wewe ndio umeongea habari za ukimwi! Kwani mpaka leo kifo cha ukimwi kinakutatiza?
Hakuna taarifa sahihi,kila mtu anasema lake.
1.Homa ya Matumbo(Typhoid)
2.Pumu.
3.Upungufu wa damu.
4.Pneomonia(homa ya mapafu)
5."KIFUA"
?????? Which is which???

"LAMDA " alitowa member ya naibu RAHISI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…