Wakili
JF-Expert Member
- Jun 19, 2017
- 531
- 657
There is no such thing as hell or heaven.
Don't be addicted to illusions.
Waambie rafiki. We are just locked-up na this idea ya kijinga.
R.I.P to her.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There is no such thing as hell or heaven.
Don't be addicted to illusions.
You know what rafiki, the best we can do it be kinder to each other.
She is gone, gone too soon and only God knows where she will go. It could be Heaven, or it could be Hell. All these places are prepared for us human beings.
She may not have had the best manners in public according to some but you never know she just might have made peace with God.
She could be having a clean slate my friend. God works in ways we cannot see.
Believe it or not she is in a better place. Being harsh will only leave bitterness in your own heart. The best ypu can do is wish her well.
Hope and pray for her that all goes well. And let us pray for each other that when our time to depart is here, it shall be well with us, and ours.
Rest in Peace young lady.
Kwann uogope kifo ni hali ya roho kuhamia sehemu nyingine, uwe mjanja,mbabe ,mkimbiza upepo, msomesha namba utaondoka watu wataendelea kupiga dili kama kawa,uwe mwema, muuaji,nk kila mtu atakufa tuMasupastaa wa Bongo ..wasichanaa wana mengi ya kujifunza kwa kifo hiki.
Ataenielewa na aelewe.
Hahahaaaa sio nkooojooo mpwaaaAlikuwa na mav balaaaa
Ova
Embu vuta picha umbo lile linazimika tii dahKabisa Ukuu wa Mungu wetu huonekana nyakati hizi
Poa tu nawashangaa watu Humu Eti oh siamini oh sjui nseme Nn cha ajabu hapohahaaa huko hapa chagui mtu MZee"" amekwenda nyerere"" kwame nkurumah"" jf Kennedy"" farao (rammises) itakuwa masogange"" ukweli uliomchungu ni huu"" hata mimi nawewe tupo kwenye foleni ""
kwann unahisi huu msiba umewagusa wanaume?Poleni wanaume kwa kupata pigo kubwaa
ana mtt kkNa msambwanda wote ule.... Kweli malipo ni hapa hapa... [emoji1019] Rip Agie hukuacha hata wa kusingiziwa.... Utakutana nao huko akhera wale uliowatanguliza
Abeee njoo hapa[emoji23][emoji23] ,kwa hiyo mke wa bashite atakuwa amefurahia kimoyo moyo etiUmenikumbusha mbali
Kwani hapa mshana alikuwa anamaanisha nn??Ha ha ha ha ha ha ha ha watu wazima wenye busara zao utawajua tu. Yaani hata itumike lugha ngumu na ya kificho kiasi gani, wao wanakuwa wameshabaini chanzo mapema sana na wao hutumia lugha ya kificho kutoa majibu ha ha ha ha ha ha ha ha we jamaa umenichekesha sana.....na shukurani kwa kunipa jibu ambalo ingenichukua pengine lisaa kujua.....
Ingewezekana kupeana lile tako tungegombania wengi lkn ndo hivyo kama alivyokuja nalo ndivyo alivyoondoka naloEmbu vuta picha umbo lile linazimika tii dah
[emoji102]Pole mzee wa wowowo
hahaaa" MAHABA mkuu"" yakizidi sana ""..huwa yana desturi yakuupofusha ubongo""nakuuruhusu upingane na naturePoa tu nawashangaa watu Humu Eti oh siamini oh sjui nseme Nn cha ajabu hapo
Ova
Pole kwa msiba cha utundu[emoji102]
Mrembo wetu mwenye shape mwanana Agnes Gerald (Masogange) amefariki jioni hii. Chanzo cha kifo hakijajukikana bado.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Watu wanashangaa mtu kufa kwa ugonjwa wa kupungukiwa damu, seriously? Unashangaa mtu kufa kwa kupungukiwa damu? Unless mseme mnajua mengine juu yake.
Tunawaombea aliowaacha, familia yake na ndugu jamaa na watu wa karibu.