TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Thank you so much Karucee. That was too harsh I agree with you 110%.

You know what rafiki, the best we can do it be kinder to each other.

She is gone, gone too soon and only God knows where she will go. It could be Heaven, or it could be Hell. All these places are prepared for us human beings.

She may not have had the best manners in public according to some but you never know she just might have made peace with God.

She could be having a clean slate my friend. God works in ways we cannot see.

Believe it or not she is in a better place. Being harsh will only leave bitterness in your own heart. The best ypu can do is wish her well.

Hope and pray for her that all goes well. And let us pray for each other that when our time to depart is here, it shall be well with us, and ours.

Rest in Peace young lady.
 
Masupastaa wa Bongo ..wasichanaa wana mengi ya kujifunza kwa kifo hiki.

Ataenielewa na aelewe.
Kwann uogope kifo ni hali ya roho kuhamia sehemu nyingine, uwe mjanja,mbabe ,mkimbiza upepo, msomesha namba utaondoka watu wataendelea kupiga dili kama kawa,uwe mwema, muuaji,nk kila mtu atakufa tu
 
RIP Agines.
Mnaochangia Mkumbuke marehemu hasemwi/hasimangwi.
 
hahaaa huko hapa chagui mtu MZee"" amekwenda nyerere"" kwame nkurumah"" jf Kennedy"" farao (rammises) itakuwa masogange"" ukweli uliomchungu ni huu"" hata mimi nawewe tupo kwenye foleni ""
Poa tu nawashangaa watu Humu Eti oh siamini oh sjui nseme Nn cha ajabu hapo

Ova
 
Poleni wanaume kwa kupata pigo kubwaa
kwann unahisi huu msiba umewagusa wanaume?
wewe hujaumia kuona mwanamke mwenzako aliyeacha mtoto mdogo amekwenda?
wewe haijakuumiza kuona kijana mdogo wa miaka 29 akipoteza uhai wake just like that huku ndoto zake zikizima kama mshumaa?

Me naona ifike mahali tuwe na staha katika maandishi yetu sababu sotw ni binaadam na sote ni njia moja, pia tujue kua kifo ni mawaidha kwa wanaobaki,

Agness amefariki hospital kwa Typhod na Anemia hujui wewe utakufaje na wapi, utapondwa na roli uwe kama chapati watu wakuogope hata kukushika, utaungua na moto hata kuoshwa iwe shida uvishwe plastic, utakufa baharini uwe chakula cha samaki watu wasione maiti yako,
utakufa kwa kipindu pindu ndugu washindwe kukuzika uzikwe na city huku wamevaa mask na gloves.

Yote hayo mjitafakari kabla msiba wa mwenzenu hamjaugeuza kua wa kimajungu na fitna.

Message hii iende kwa wote waliodiss kuanzia comment za mwanzo mpk wanaoendelea kudiss.

Am out.
 
Watu wanashangaa mtu kufa kwa ugonjwa wa kupungukiwa damu, seriously? Unashangaa mtu kufa kwa kupungukiwa damu? Unless mseme mnajua mengine juu yake.

Tunawaombea aliowaacha, familia yake na ndugu jamaa na watu wa karibu.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha watu wazima wenye busara zao utawajua tu. Yaani hata itumike lugha ngumu na ya kificho kiasi gani, wao wanakuwa wameshabaini chanzo mapema sana na wao hutumia lugha ya kificho kutoa majibu ha ha ha ha ha ha ha ha we jamaa umenichekesha sana.....na shukurani kwa kunipa jibu ambalo ingenichukua pengine lisaa kujua.....
Kwani hapa mshana alikuwa anamaanisha nn??
 
Poa tu nawashangaa watu Humu Eti oh siamini oh sjui nseme Nn cha ajabu hapo

Ova
hahaaa" MAHABA mkuu"" yakizidi sana ""..huwa yana desturi yakuupofusha ubongo""nakuuruhusu upingane na nature
 
Mrembo wetu mwenye shape mwanana Agnes Gerald (Masogange) amefariki jioni hii. Chanzo cha kifo hakijajukikana bado.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe


Yaaani siamini kama mchwa wanaenda kufaidi chura lote lile la agness, yani angechelewa kidogo tu ningempa walau million 2 ili nimle tigo kwa bao moja, hide my id please Mzigua90
 
Watu wanashangaa mtu kufa kwa ugonjwa wa kupungukiwa damu, seriously? Unashangaa mtu kufa kwa kupungukiwa damu? Unless mseme mnajua mengine juu yake.

Tunawaombea aliowaacha, familia yake na ndugu jamaa na watu wa karibu.

Wengine wanashangaa eti kafa na umbo lake!

Walimwengu bana!
 
Back
Top Bottom