Ahadi ya kujenga nyumba yangu ya kuishi kabla ya miaka 35 imetimia

Watu wachache sana wanaopata bahati kama yako mkuu,
mshukuru sana Mungu na Hongera sana[emoji2937]
 
Ningeshangaa kama siri ya mafanikio yako sio kupachikwa vitengo vyenye hela. [emoji3] [emoji3] [emoji3]!

Connection ni muhimu sana mi sijui hata nitajenga lini ila mpango huo upo panapo uhai. Wacha niendelee kula vichwa na hii Fekon yangu.
Mkuu kwenye ukweli huwa nasema tu. Ila baada ya kufunguliwa milango ya maisha sikuwa mjinga nilikuwa na mwanangu mmoja hivi pale bandari alikuwa mtoto wa mbunge na waziri ndiyo alikuwa mshauri wangu hasa kwenye masuala ya fedha.

Tulikulia mtaa mmoja hivyo yeye alitangulia kula shavu la ajira pale nilivyoenda mie tukawa ofisi jirani so muda mwingi tulikuwa tunaonana.
 
Ningeshangaa kama siri ya mafanikio yako sio kupachikwa vitengo vyenye hela. [emoji3] [emoji3] [emoji3]!

Connection ni muhimu sana mi sijui hata nitajenga lini ila mpango huo upo panapo uhai. Wacha niendelee kula vichwa na hii Fekon yangu.
Mwanzoni nilikuwa natumbua pesa kama sina akili nzuri ila baadae nikaanza kuweka savings benki na kwingineko.

Bahati nzuri mie sio mtu wa pombe wala sijui hata ladha yake ikoje ila tu kutumia na washkaji zangu ambao walikuwa wanywaji wazuri sikuwa bahili.

Nilikuwa na uwezo wa kwenda bar na wanangu na mademi zetu nikawapigisha pombe na kiti moto mwanzo mwisho halafu mie nikaishia soda ama zile juice za boksi kubwa za azam na nyama choma basi.
 
Ningeshangaa kama siri ya mafanikio yako sio kupachikwa vitengo vyenye hela. [emoji3] [emoji3] [emoji3]!

Connection ni muhimu sana mi sijui hata nitajenga lini ila mpango huo upo panapo uhai. Wacha niendelee kula vichwa na hii Fekon yangu.
Siku hizi umekuwa boda boda?[emoji849][emoji849]
 
Yesu Mwenyewe mpaka keshokutwa yupo kwa Baba yake .

Kwanza Duniani tunapita .... Tusipeane stress

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Na kama tunapita hatuwezi jenga nyumba njiani πŸ˜‚
 
Hongera kwa bahati hiyo Mkuu tupe hayo mashavu na kina sie ambao hatujapata wa kutushika mkono kama ww..tunazeekea kwenye rent houses ingawa hatujakata tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…