Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Usalama hata kuweka milango kabisa bila ya hivyo itageuzwa gesti bubu soon na watu wa hovyo .Hata kufanywa choo..Kuna vichaa wale homeless wanazunguka tu ukiacha pagala bila ya kuweka milango na madirisha unaweza wakuta wameshafanya nyumba yaoNje ya mada
Naomba kufahamu naona watu wengi wanaweka grill madirishani na milangoni kabla ya kupaua sabbu ni nn? Na je ni muhimu kufanya hivo au ni mapendekezo tu?
Nina miaka 68 karibia naingia 69 nadhani April ,mpaka Kodi huwa inanishinda smt tunalala njaa na Ada ama hela ya sare za shule zinazingua. Naona ili ufurahie mkuu. Hata simu nayotumia kuingia humu natumia simu ya mtu nagongea.Kumbe forex haisaidii kabisa. Hadi leo huna kibanda
Nilikuwa sijui hili mmenisaidia kwakweliUsalama hata kuweka milango kabisa bila ya hivyo itageuzwa gesti bubu soon na watu wa hovyo .Hata kufanywa choo..Kuna vichaa wale homeless wanazunguka tu ukiacha pagala bila ya kuweka milango na madirisha unaweza wakuta wameshafanya nyumba yao
Sawa basi usifanye hivyo kwenye ule mjengo wako unaojenga kule GobaNilikuwa sijui hili mmenisaidia kwakweli
😂😂😂Kijumba Cha tope natak niweke grill😂Sawa basi usifanye hivyo kwenye ule mjengo wako unaojenga kule Goba
MKOPO aliokopa kujenga ndio unamfanya afoke fokeKufokafoka kunaingiaje humo mkuu
Aisee... Hizi chuki wazi waziNina miaka 68 karibia naingia 69 nadhani April ,mpaka Kodi huwa inanishinda smt tunalala njaa na Ada ama hela ya sare za shule zinazingua. Naona ili ufurahie mkuu. Hata simu nayotumia kuingia humu natumia simu ya mtu nagongea.
Sema Kuna lingine tena nimesahau ,
Unaanza kupaua/kuezeka ndio unaweka grill sio kinyume chake. Ukiweka grill kabla ya kuezeka mvua ikinyesha grill zitapata kutu utakula hasara.Nje ya mada
Naomba kufahamu naona watu wengi wanaweka grill madirishani na milangoni kabla ya kupaua sabbu ni nn? Na je ni muhimu kufanya hivo au ni mapendekezo tu?
Wewe kwa yale maeneo ya kishua unatembelea kwenye kutubless kule lazima uwe mjengo wa maana unaunyanyua 🤣🤣🤣😂😂😂Kijumba Cha tope natak niweke grill😂
Jamaa aliona ugumu kuharibu paa la nyumba[emoji2][emoji2]View attachment 2543153
Kama huweki picha tutakuwekea
Yeah. I'm inspired kwakweli.Unazingua ,mie sio si unit ya kuseti standard za hela chafu,kila mtu Anazo si unit zake.
We differ perception,how I worth like a person ,our thinking etc so Naona Kama unanichora.
Ama nikuambie kuwa hela chafu Ni alfu 70 utaweza kuwa inspired kweli
Nipo kipenzi mzima?hello bestito upo nimekukumbuka sana
We kwako umeingia ukiwa na umri ganiUlichelewa mno Kuna dogo langu alihamia kwake akiwa na 19yrs old na aliishia la tano Ila ana hela chafu. Hapo unasemaje
Mie Nina 68yrs bado niko kwenye upangaji mkuu. Labda Nina nyumba ya nyasi Kijijini kwetuWe kwako umeingia ukiwa na umri gani
Hukuwa na nia ya kujengaMie Nina 68yrs bado niko kwenye upangaji mkuu. Labda Nina nyumba ya nyasi Kijijini kwetu