Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii


View: https://www.instagram.com/reel/DNWEPOWJjh6/?igsh=MWo0Ynp1YWQ4Yjd6Zg==
 
Hata hivyo,hizo diplomatic passport huwa zinaweza kutumika vibaya na watu wenye vimelea vya uhalifu.Kwa hiyo,siyo sahihi kutoa hovyo hovyo hata kwa watu wasiohusika.
 
Propaganda za chadema hizi
 
huyo ni mjumbe wa kamati kuu ya chama kinachotawala
 
Kama tunakusanya fedha nyingi hivyo kwa nini huduma za afya,maji,elimu,miradi ya barabara nk inakwama.
Hakuna mahala miradi imekwama Kila siku unaona viongozi wa Serikali wanazindua miradi iliyokamiika.

Hoja ni kwamba kuwabana wafanyabiashara unajibana mwenyewe na watu kama nyie hata Kodi hamlipi maana ni maskini wa akili na Mali na badala ya kuwekeza Nguvu kutafuta hela mnawekeza Nguvu kuwashambulia waliotafuta na wanaowalea wafanyabiashara.

Sasa watu kama wewe sijui mna shida gani.

View: https://www.instagram.com/p/DNVdiHGNA2p/?img_index=3&igsh=MTh6c28waHZ2c2Q3eA==
 
Ana sifa ya kuwa nayo

"A diplomatic passport is a special type of passport issued by a government to its diplomats and other officials who are representing the country on official business abroad"
 
Hata hivyo,hizo diplomatic passport huwa zinaweza kutumika vibaya na watu wenye vimelea vya uhalifu.Kwa hiyo,siyo sahihi kutoa hovyo hovyo hata kwa watu wasiohusika.
Teh teh teh

Ova
 
Kwa hiyo sheria inaruhusu wajumbe wa chama tawala kuwa na hizo hati?
Ndio,tena inaruhusu hata mtu binafsi kupata hiyo pasipoti,mfano ni mwanamichezo mkubwa sana,ama ni tajiri sana,ama ni mtu ambae kafanya jambo kubwa kuiendeleza nchi na husafiri sana.Mfano marehemu mama yangu alikuwa na diplamatic pass,kwa mchango wake wa kuwasaidia watanzania wengi kwenda kusoma ujerumani,japo yeye alikuwa hana elimi ila aliolewa na mwanaume wa kijerumani
 

☝️Huko ndiko nchi inapoelekea tushawaeleza, sasa tudhani hizo ni ngonjera tu.

Hatuna exception na Mexico au nchi yeyote duniani ambapo wafungwa wenye uwezo kutoroka ni rahisi—Msingi wake ni corruption serikalini na magereza.

Kusamba kwa madawa ya kulevya ni corruption ndani ya vyombo vya ulinzi (vyote).

Hatuna exception na Nigeria, Congo au nchi yeyote ambayo jeshi lake linazidiwa na wanamgambo kama Boko haram, M23, Haiti gangsters—msingi wake ni corruption serikalini na nepotism hadi kwenye vyombo vya ulinzi na kupandishana vyeo haraka bila ya merit. Matokeo yake Army officers hawawezi strategies za vita.

Sasa kila sehemu inaelekea kuwa hivyo Tanzania (tuko hatua za kati tu) lakini nina uhakika ndani ya miaka mitano; CCM itafikisha lengo lake la kuharibu nchi imagine uraia utakavyokuwa uraia unatolewa kirahisi na uhamiaji ni hela tu.

Watch this space
 
Ana sifa ya kuwa nayo

"A diplomatic passport is a special type of passport issued by a government to its diplomats and other officials who are representing the country on official business abroad"
Kaangalie sheria imetaja watu wenye sifa ya kupewa huyo Assas hayupo kwenye list
 
Ukweli ni kwamba hiko paspoti cha kibongo cha kidplomasia hakiheshimishiwi nchi za wazungu zote
Unapitishwa na kuhojiwa sawa na abiria wengine na visa lazima aoombe
 
Ukweli ni kwamba hiko paspoti cha kibongo cha kidplomasia hakiheshimishiwi nchi za wazungu zote
Unapitishwa na kuhojiwa sawa na abiria wengine na visa lazima aoombe
Diplomatic passport inategemea "bilateral Agreement" kati ya nchi na nchi. Nchi nyingi za ulaya na Amerika haziheshimu hizi paspoti za kidplomasia za Afrika kwa kuwa zilitumika sana na wahuni kufanya vitu vya kihuni kwenye nchi zao huko tulikotoka.

Nadhani ulaya ya Mashariki, Asia na Arabuni ndiyo Kuna nchi zinazichukulia hizi Pasipoti za kidplomasia za Afrika angalau kwa uzito kidogo. Maana hata huko bado utatupiwa jicho la shaka.
 
Yetu macho tu !

Ova
 
Rejea ile issue ya waziri yule enzi za mwinyi smbdy D huko ujerumani!
Watoto wadogo humu watakuwa hawajuwi hilo sakata

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…