njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Point ni kwamba hakuwahi kusema Magufuli ni mungu kama ambavyo mnatuambia, mlipaswa kusema alichapia kwa kusema Magufuli ni mungu. Hata Mbowe aliwahi kuchapia kwa kusema Ccm ni wenzake ila hakuna anayesema kuwa Mbowe amesema kuwa ccm ni wenzake.Ungesema alichapia na si kwamba alimaanisha hivyo ningekuelewa lakini hapo 'si kwamba alisema hivyo' si kweli kwani maneno hayo yalitoka very clear kinywani mwake.
Na ndio maana wengi mashoga na kuwashwa "tigo" zao.
Nakubaliana na wewe. Zamani mwanaume akijipendekeza jamii ilikuwa inamuona ni mtu wa hovyo kweli kweli. Siku hizi kibongo bongo wanaitwa ma-celebrity! Nina uhakika hata kukunjwa wanaweza kukunjwa kwa sababu tu ya fedha.
Word after word alimu address Magufuli kwa maneno haya " Mheshimiwa Mungu ' kama hukuyasikia usibishe ila nakubaliana na wewe kuwa alichapia,sasa kiungwana ilitakiwa Magufuli akanishe kuwa yeye siyo Mungu.Point ni kwamba hakuwahi kusema Magufuli ni mungu kama ambavyo mnatuambia, mlipaswa kusema alichapia kwa kusema Magufuli ni mungu. Hata Mbowe aliwahi kuchapia kwa kusema Ccm ni wenzake ila hakuna anayesema kuwa Mbowe amesema kuwa ccm ni wenzake.
Hilo haliwahusu waislamu au wakrsto! Ajifunze kwa wanamuziki waingereza wa beatle waliosema wao ni maarufu kuliko yesu au kwa hapa nchini ajifunze kwa jiwe aliesema atakuwa kiranja wa kina Gabriel (jibril) na israel akaona huu ni uchawa unatafutwa kwa Muumba! Mwamba akapita nae shwaaa!Kwani kawakosea wakristo na waislam? Zile zilikuwa ni kejeli kwa Samia hivyo ndiye anayepaswa kuombwa msamaha.
Mwanaume kamili na timamu anaenda kua bidhaa adimu miaka sio mingi.Inasikitisha sana, unaona mabinti wengi hata baada ya kumaliza masomo na kukosa ajira, wameamua kujiajiri hata mama ntilie na kuuza vitu mbalimbali mitandaoni. Ila vijana wa kiume wapo mitandaoni wanajikombakomba kwa viongozi na kusifia watawala ili wapate vyeo na wengine wanaenda mbali na kuomba pesa kwa viongozi.
Tunahitaji mpango wa haraka wa kuokoa kizazi cha watoto wa kiume, kuna tatizo kubwa.
Sio hali ya kawaida kuona mwanaume anamsifia sifia na kujikombakomba kwa mtu hadharani na anaona ni hali ya kawaida.
Ndiyo akili ya wa tzMwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia.
Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi.
===
Pia soma uzi huu ambapo Ahmed alitamka maneno hayo;
- Huu uchawa umezidi: Kiongozi wa dini adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia
Sasa kama alichapia kwanini hamsemi alichapia na badala yake mnasema alimwita Magufuli ni Mungu? Hamuoni kuwa nyie ndio mnakosea?Word after word alimu address Magufuli kwa maneno haya " Mheshimiwa Mungu ' kama hukuyasikia usibishe ila nakubaliana na wewe kuwa alichapia,sasa kiungwana ilitakiwa Magufuli akanishe kuwa yeye siyo Mungu.
Mkuu kapatwa na nini??? Ule wehu wake umeyeyuka!!Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia.
Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi.
===
Pia soma uzi huu ambapo Ahmed alitamka maneno hayo;
- Huu uchawa umezidi: Kiongozi wa dini adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia
Mkuu kimtokacho mtu mdomoni chatoka moyoni!! Profesa yule!!Sasa kama alichapia kwanini hamsemi alichapia na badala yake mnasema alimwita Magufuli ni Mungu? Hamuoni kuwa nyie ndio mnakosea?
Point yangu hayo maneno aliyatamka kwa kuchapia na si kwa kukusudia, sasa Magufuli akanushe nini tena hapo?
Mkuu kwani kuchapia maanake nini, sio ndio kusema kule kule!!! Kwani kuchapia mtu hasemi??? π€£ π€£ π€£Point ni kwamba hakuwahi kusema Magufuli ni mungu kama ambavyo mnatuambia, mlipaswa kusema alichapia kwa kusema Magufuli ni mungu. Hata Mbowe aliwahi kuchapia kwa kusema Ccm ni wenzake ila hakuna anayesema kuwa Mbowe amesema kuwa ccm ni wenzake.
ππ€πββοΈHilo haliwahusu waislamu au wakrsto! Ajifunze kwa wanamuziki waingereza wa beatle waliosema wao ni maarufu kuliko yesu au kwa hapa nchini ajifunze kwa jiwe aliesema atakuwa kiranja wa kina Gabriel (jibril) na israel akaona huu ni uchawa unatafutwa kwa Muumba! Mwamba akapita nae shwaaa!
Muombe msamaha Lisu "MJINGA" wewe.Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia.
Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi.
===
Pia soma uzi huu ambapo Ahmed alitamka maneno hayo;
- Huu uchawa umezidi: Kiongozi wa dini adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia
πππππ€ππββοΈWord after word alimu address Magufuli kwa maneno haya " Mheshimiwa Mungu ' kama hukuyasikia usibishe ila nakubaliana na wewe kuwa alichapia,sasa kiungwana ilitakiwa Magufuli akanishe kuwa yeye siyo Mungu.
Mkuu Magufuli mwenyewe alikuwa anautamani unyapala juu ya malaika, hapo kapandishwa cheo kuwa Mungu, ulitegemea atengue!!! Chezea Magu!! Mungu kafanya yake kwa kufuru ile!!!Word after word alimu address Magufuli kwa maneno haya " Mheshimiwa Mungu ' kama hukuyasikia usibishe ila nakubaliana na wewe kuwa alichapia,sasa kiungwana ilitakiwa Magufuli akanishe kuwa yeye siyo Mungu.