Pre GE2025 Ahmed Kombo aliyesema akitoka Yesu na Mtume Muhammad anayefuata ni Rais Samia awaomba Radhi Wakristo na Waislam!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ILa ukweli usemwe kuna makosa kama mwanadamu Raisi wetu anakosea ila hili la kuruhusu pasi na kukemea masifa sifa haya ya watu waliomzunguka na machawa wanamuharibia mnoo, hebu ona mpaka kufru hizi kweli?
 
Ungesema alichapia na si kwamba alimaanisha hivyo ningekuelewa lakini hapo 'si kwamba alisema hivyo' si kweli kwani maneno hayo yalitoka very clear kinywani mwake.
Point ni kwamba hakuwahi kusema Magufuli ni mungu kama ambavyo mnatuambia, mlipaswa kusema alichapia kwa kusema Magufuli ni mungu. Hata Mbowe aliwahi kuchapia kwa kusema Ccm ni wenzake ila hakuna anayesema kuwa Mbowe amesema kuwa ccm ni wenzake.
 
Na ndio maana wengi mashoga na kuwashwa "tigo" zao.
Inasikitisha sana, unaona mabinti wengi hata baada ya kumaliza masomo na kukosa ajira, wameamua kujiajiri hata mama ntilie na kuuza vitu mbalimbali mitandaoni. Ila vijana wa kiume wapo mitandaoni wanajikombakomba kwa viongozi na kusifia watawala ili wapate vyeo na wengine wanaenda mbali na kuomba pesa kwa viongozi.

Tunahitaji mpango wa haraka wa kuokoa kizazi cha watoto wa kiume, kuna tatizo kubwa.

Sio hali ya kawaida kuona mwanaume anamsifia sifia na kujikombakomba kwa mtu hadharani na anaona ni hali ya kawaida.
 
Nakubaliana na wewe. Zamani mwanaume akijipendekeza jamii ilikuwa inamuona ni mtu wa hovyo kweli kweli. Siku hizi kibongo bongo wanaitwa ma-celebrity! Nina uhakika hata kukunjwa wanaweza kukunjwa kwa sababu tu ya fedha.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye jamii yetu, na wengi hawajabaini hilo mkuu!

Leo hii mwanaume anajivunia kabisa kuwa 'chawa' wa mwanaume mwenzake. Yaani mwanaume anafanya kazi ya kumsifia mwanaume mwenzake.
 
Kumkufuru Mungu ni dhambi isiyosameheka, Aliyesema anafaa kuwa kiongozi wa malaika akaondoka, msishangae na huyu akiondoka
 
Point ni kwamba hakuwahi kusema Magufuli ni mungu kama ambavyo mnatuambia, mlipaswa kusema alichapia kwa kusema Magufuli ni mungu. Hata Mbowe aliwahi kuchapia kwa kusema Ccm ni wenzake ila hakuna anayesema kuwa Mbowe amesema kuwa ccm ni wenzake.
Word after word alimu address Magufuli kwa maneno haya " Mheshimiwa Mungu ' kama hukuyasikia usibishe ila nakubaliana na wewe kuwa alichapia,sasa kiungwana ilitakiwa Magufuli akanishe kuwa yeye siyo Mungu.
 
Kwani kawakosea wakristo na waislam? Zile zilikuwa ni kejeli kwa Samia hivyo ndiye anayepaswa kuombwa msamaha.
Hilo haliwahusu waislamu au wakrsto! Ajifunze kwa wanamuziki waingereza wa beatle waliosema wao ni maarufu kuliko yesu au kwa hapa nchini ajifunze kwa jiwe aliesema atakuwa kiranja wa kina Gabriel (jibril) na israel akaona huu ni uchawa unatafutwa kwa Muumba! Mwamba akapita nae shwaaa!
 
Inasikitisha sana, unaona mabinti wengi hata baada ya kumaliza masomo na kukosa ajira, wameamua kujiajiri hata mama ntilie na kuuza vitu mbalimbali mitandaoni. Ila vijana wa kiume wapo mitandaoni wanajikombakomba kwa viongozi na kusifia watawala ili wapate vyeo na wengine wanaenda mbali na kuomba pesa kwa viongozi.

Tunahitaji mpango wa haraka wa kuokoa kizazi cha watoto wa kiume, kuna tatizo kubwa.

Sio hali ya kawaida kuona mwanaume anamsifia sifia na kujikombakomba kwa mtu hadharani na anaona ni hali ya kawaida.
Mwanaume kamili na timamu anaenda kua bidhaa adimu miaka sio mingi.
 
Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia.

Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi.

===

Pia soma uzi huu ambapo Ahmed alitamka maneno hayo;

- Huu uchawa umezidi: Kiongozi wa dini adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia
Ndiyo akili ya wa tz
 
Mwingine huyu huku
 
Word after word alimu address Magufuli kwa maneno haya " Mheshimiwa Mungu ' kama hukuyasikia usibishe ila nakubaliana na wewe kuwa alichapia,sasa kiungwana ilitakiwa Magufuli akanishe kuwa yeye siyo Mungu.
Sasa kama alichapia kwanini hamsemi alichapia na badala yake mnasema alimwita Magufuli ni Mungu? Hamuoni kuwa nyie ndio mnakosea?

Point yangu hayo maneno aliyatamka kwa kuchapia na si kwa kukusudia, sasa Magufuli akanushe nini tena hapo?
 
Yuko mkuu wa Jimbo moja mstaafu, Jimbo lenye wanawake mafundi wa kulisha wanaume limbwata alisema mungu mwenyewe amuombe Magufuli.
Chawa mmoja anayejiita shehe mpenda laini za tigo akaona mtume Ni kitu gani mbele ya magufuli, maneno haya angekaa nayo moyoni tungempa heshma lakini yeye baada ya kuvimbiwa pilau ya kitimoto aliyatamka hadharani. Chezea rosti la kitimoto wewe.
 
Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia.

Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi.

===

Pia soma uzi huu ambapo Ahmed alitamka maneno hayo;

- Huu uchawa umezidi: Kiongozi wa dini adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia
Mkuu kapatwa na nini??? Ule wehu wake umeyeyuka!!
 
Sasa kama alichapia kwanini hamsemi alichapia na badala yake mnasema alimwita Magufuli ni Mungu? Hamuoni kuwa nyie ndio mnakosea?

Point yangu hayo maneno aliyatamka kwa kuchapia na si kwa kukusudia, sasa Magufuli akanushe nini tena hapo?
Mkuu kimtokacho mtu mdomoni chatoka moyoni!! Profesa yule!!
 
Point ni kwamba hakuwahi kusema Magufuli ni mungu kama ambavyo mnatuambia, mlipaswa kusema alichapia kwa kusema Magufuli ni mungu. Hata Mbowe aliwahi kuchapia kwa kusema Ccm ni wenzake ila hakuna anayesema kuwa Mbowe amesema kuwa ccm ni wenzake.
Mkuu kwani kuchapia maanake nini, sio ndio kusema kule kule!!! Kwani kuchapia mtu hasemi??? 🤣 🤣 🤣
 
Hilo haliwahusu waislamu au wakrsto! Ajifunze kwa wanamuziki waingereza wa beatle waliosema wao ni maarufu kuliko yesu au kwa hapa nchini ajifunze kwa jiwe aliesema atakuwa kiranja wa kina Gabriel (jibril) na israel akaona huu ni uchawa unatafutwa kwa Muumba! Mwamba akapita nae shwaaa!
👏🤝🙋‍♂️
 
Mwanaharakati Ahmed Kombo amewaomba radhi Wakristo na Waislam kwa kauli aliyoitoa kuwa akitoka Yesu na Mtume Muhammad (SAW) anayefuata ni Rais Samia.

Kombo amesema yeye ni Muislamu na anatambua kuwa Yesu Kristo na Mtume Muhammad (SAW) ni Manabii hivyo anaomba radhi.

===

Pia soma uzi huu ambapo Ahmed alitamka maneno hayo;

- Huu uchawa umezidi: Kiongozi wa dini adai baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia
Muombe msamaha Lisu "MJINGA" wewe.
 
Mkuu mimi nakuunga mkono, proganda ya Mwendazake itaacha vichaa wengi mno baadaye!!!
 
Word after word alimu address Magufuli kwa maneno haya " Mheshimiwa Mungu ' kama hukuyasikia usibishe ila nakubaliana na wewe kuwa alichapia,sasa kiungwana ilitakiwa Magufuli akanishe kuwa yeye siyo Mungu.
👏👏👏👊🤝🙏🙋‍♂️
 
Mkuu Magufuli mwenyewe alikuwa anautamani unyapala juu ya malaika, hapo kapandishwa cheo kuwa Mungu, ulitegemea atengue!!! Chezea Magu!! Mungu kafanya yake kwa kufuru ile!!!
 
Back
Top Bottom