Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

Kosa lako ni kusema watu walipe kama vile wamekataa kulipa.

Tatizo lipo kwenye VRF. VRF ilipitishwa na bunge mwaka 2013, na ikawahusu hadi wale wa miaka ya nyumba, ambao mkataba wao haukuwa na VRF. Je, hauoni ni kuvunja mkataba?
 
Swala la kulinda thamani ya pesa lilitakiwa kuachwa na cha msingi ingepunguzwa asilimia........ yani ukope leo laki halafu baada ya miaka kumi ulipe laki hiyo hiyo? aiseee
Mbona wao ukiwadai hawaweki hiyo ya ongezeko la thamani?
 
Mkuu nimeshindwa kucheki deni langu, naomba msaada

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kosa lako ni kusema watu walipe kama vile wamekataa kulipa.

Tatizo lipo kwenye VRF. VRF ilipitishwa na bunge mwaka 2013, na ikawahusu hadi wale wa miaka ya nyumba, ambao mkataba wao haukuwa na VRF. Je, hauoni ni kuvunja mkataba?
Sasa inatakiwa lawama wazitoe kuanzia waliomaliza chuo 2012 kurudi nyuma, au nakosea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…