Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
VRF ilipitishwa na bunge mwaka 2013, na ikawahusu hadi wale wa miaka ya nyumba, ambao mkataba wao haukuwa na VRF. Je, hauoni ni kuvunja mkataba?
hapa tumekwama wengi....Kama hapo kwenye circle....mbona username inagoma uki-click??View attachment 1833958
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mkuu..Kama hapo kwenye circle....mbona username inagoma uki-click??View attachment 1833958
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
hapa tumekwama wengi....
Cheki hapo nilipozungushia duaraView attachment 1834045
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Sasa hapo kwenye no. 3 kujaza hizo details uki-ckick sehemu ya username ili uandike haitokei .
Ndo tatizo lipo hapo.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Duuh 9M hadi 2M? Hapo unalipa deni kiroho safiShukran mkuu..nmeona..there is a big difference
Wakayi was mwendazake nilienda ofisini kwao wakaniprintia deni la milioni tisa..sasa hv nmecheki deni limepungua hadi milioni mbili.
Kwangu inagoma kufikia hatua hii, sijui nifanyaje dahKama hapo kwenye circle....mbona username inagoma uki-click??View attachment 1833958
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Tumia link hii:Inagoma kwenye kutengeneza accountView attachment 1834088
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Mimi nikifika hatua ya mwisho naambiwa ku
na tatizo la ki
Nangojea huo mrejesho kwa hamu vile ulivyojibiwaNilienda bodi jana ngoja nikae vizuri niwape feedback
Tupe mrejesho kaka tunasubiria majibu yako!!!Nilienda bodi jana ngoja nikae vizuri niwape feedback
Mzee baba kote huko ndo tulikuepo mbona inagoma kwenye username stage.
Leta mrejeshoNilienda bodi jana ngoja nikae vizuri niwape feedback
Leta mrejesho